Simba sc imekamilisha usajili wa Alassane Kante

Simba sc imekamilisha usajili wa Alassane Kante

Jize one

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
15
Reaction score
20
Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi Cha simba msimu ujao, je unafikiri kwa sajili hizi ambazo simba inaendelea kuzifanya zitaweza kurudisha ufalme wake katika soka la Tanzania hususani ligi kuu kama iliyokuwa kwa misimu minne iliyopita?
Screenshot_20250730-213533.png
 
Hapo ni kabla hamjaanza kumsonya furushi lenu ateba

Na baadae akina mzize wakifumua mshono mnaanza mangungu AUT
 
Angekuwa na pasta wangesema, bubu akinunua simu utajua tu.
 
Back
Top Bottom