Simba na Yanga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Hata uadui wao Uwe wa kiasi gani lakini kamwe mto msimbazi hautoacha kupita jangwani
 
Mh, kumbe wanawatumia waamuzi kuiua Simba wameumbuka. Hukumu, Adhabu na Uamuzi, bila kutoa pesa hakuna kucheza, haijatokea mtuhumiwa kunyimwa nafasi ya kujitetea hata kama ana adhabu kukata rufaa endapo hajaridhika. Uchugu wann kwani hamuwezi kuwafundisha yosso wenu? Kuzawazisha hizo goli 3 ndo nongwa, waamuz wale mliwapa zawad kwa kulinda vipaji, na hawa wauwaji wa vipaji ndo mwaona bora kuangusha rungu msmbaz kutengezea tim yenu ubingwa. Tambwe, Kiiza kina Kpre ndo fahar wafungaji wa KTZ kuwaulia vpaji. Tunataka tim nzuri sanaaa ya Taifa
 
iko siku kila mtu ataishangilia Simba.
Nalog off
 

Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…