Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Timu ndiyo zinapasha pasha..mashabiki wa yanga wanaonekana kujiamini zaidi

 
kwajinsi uwanja ulivyo fulika kweli inaonyesha Simba na Yanga ndiyo kipenzi cha wapenda mpira wa miguu hapa Tanzania
 
Yah! Mashabiki wa Kandambili wana Mzuka sana, Ngoja tungojee dakika tisini za Mchezo. Kila la Kheri
 
Simba tunanyimwa penati ya wazi dakika ya 2. Huyu refa MBAGA anaibeba Yanga
 
Yanga wanacheza defensive sana. Wamerudi nyuma wote! na wamepaki na bus lao (team coach ) golini!
 
Hahaha,

Simba kama Chelsea vile... Ushindi LAZIMA.

Si mchezo

Tehe tehe..mechi ya leo haitabiriki mkuu,mi nasubiri dk 90 tu...Btw unaiangalia mechi ya Arsenal na Spurs???,Spurs wamepigwa goli 2 ndani ya dk 1(dk ya 43)...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…