Simba na Yanga kesho hapatoshi

Simba na Yanga kesho hapatoshi

Trance M

Senior Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
183
Reaction score
37
Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga viva!

Tazama attachment
 

Attachments

  • 20130517_112140.jpg
    20130517_112140.jpg
    200.3 KB · Views: 43
  • 20130517_112136.jpg
    20130517_112136.jpg
    179.9 KB · Views: 48
  • 20130517_112131.jpg
    20130517_112131.jpg
    193.9 KB · Views: 49
Back
Top Bottom