Simba na ujanja ujanja unaowatokea puani

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,660
Hebu pitia upande hicho cha Dimba ndipo utajua nini kilicho nyuma ya pazia huko mikiani
777a1950365d0fea3ca4cebcb8c12b71.jpg
 
Yaliyomkuta Kessy kufojiwa mkataba ndio yaliyomkuta Hajib. Alipigishwa miaka miwili zaidi bila ridhaa yake
 
Matopeni wana utalaam wa Kufoji mikataba ya wachezaji toka zamani
Wakishawahi kufikishwa polisi lakini bahati RPC wa Dar wakati huo alikuwa Simba damu akaipotezea!
Namkumbuka Tibaigana. Hapo inasemekana mkataba wa Ajib ulifika tamati miaka miwili iliyopita. Bila kujua akajikuta ana mkataba wa miaka miwili zaidi unaoisha hivi karibuni. Yaani hata Mo kashindwa kumshawishi Kwani alishaapa kwa baadhi ya wachezaji kwamba akisaini tena Simba wamkate kichwa.

Mbaya zaidi ilibidi wachezaji waanze mbinu za kujihami ambapo walimshauri Kiiza aliposaini achukue nakala ya mkataba na kupeleka polisi kukwepa kughushiwa.

Pili Ajib anadai alipata timu Misri baada ya majaribio, lakini uongozi wa Simba ukataka dau kubwa sana ili kukwamisha uhamisho huo.
 
Hyo Ni uongo wa wazi kabisa,sasa nimegundua kwanini baadhi ya magazeti yanafungiwwa..hivi mchezaji unaweza kufanyiwa uhuni kama hyo akakaa kimya!?ukiangalia mechi zote alizocheza ajib hakuna mechi alionekana kucheza chini ya kiwango,kama ajib kaondoka aende zake aaxhe kuichafua timu..
Simba nguvu moja!!
 
OK. Kashfa hizi sio mpya msimbazi. Sema mashabiki wake ni waelewa, hawasumbui vichwa vyao. Na hii ni fursa nzuri kwa viongozi wajanja wajanja.
 
Namkumbuka Tibaigana. Hapo inasemekana mkataba wa Ajib ulifika tamati miaka miwili iliyopita. Bila kujua akajikuta ana mkataba wa miaka miwili zaidi unaoisha hivi karibuni. Yaani hata Mo kashindwa kumshawishi Kwani alishaapa kwa baadhi ya wachezaji kwamba akisaini tena Simba wamkate kichwa.

Mbaya zaidi ilibidi wachezaji waanze mbinu za kujihami ambapo walimshauri Kiiza aliposaini achukue nakala ya mkataba na kupeleka polisi kukwepa kughushiwa.

Pili Ajib anadai alipata timu Misri baada ya majaribio, lakini uongozi wa Simba ukataka dau kubwa sana ili kukwamisha uhamisho huo.
Acha uongo wewe ajib Ni kweli alipata timu misri,kilichomfanya ashindwe kujiunga Ni kwamba alichelewa dirisha la usajili la kule.
 
Hyo Ni uongo wa wazi kabisa,sasa nimegundua kwanini baadhi ya magazeti yanafungiwwa..hivi mchezaji unaweza kufanyiwa uhuni kama hyo akakaa kimya!?ukiangalia mechi zote alizocheza ajib hakuna mechi alionekana kucheza chini ya kiwango,kama ajib kaondoka aende zake aaxhe kuichafua timu..
Simba nguvu moja!!
Limekuumaje mnyama
 
Back
Top Bottom