Pamoja na ukweli kwamba timu ya simba ina kikosi bora sana tangu akiwepo okwi na wenzake lakini wameshindwa kigundua sababu zinazofanya washindwe kinyakua ubingwa
1.Waache malumbano yasio na maana
2.Wa concetrate uwanjani zaidi
3.Waachane na Yanga anawapotezea muda kwa kuwatoa kwenye mudi
4.Waache mpira wa gonga nyingi kwani wiwanja vya mikoani havijui gonga ni nini inawagharimu sana.
5.Mpira uchezwe uwanjani si katika vyombo vya habari
6.Wanasahau kwamba ligi si kumfunga yanga tu sasa wao wanajua kumfunga yanga mdo kila kitu
Kwa muda mrefu sasa yanga wamemudi kutulia kila wanapofungwa na simba
Kwa miaka ya nyuma kifungwa na simba kulileta mapinduzi ya iongozi,vurugu,na kola aina ya matatizo
Lakini kwa miaka ya hivi karibuni yanga wamemudu kuhesabu point kwa kila timu na hata wakipoteza mechi ya simba wanabaki watulivu na kujiandaa na mechi inayofuata
Kinyume chake simba wao baada ya kimfunga yanga ambalo ndo lengo lao kuu
Hu relax na kuona ligi imeisha
Sasa wajitathmini
Haiwezekani makosa yale yale kila mwaka wakati wana timu nzuri sana
Mwaka jana walikosa ubingwa kwa ajili ya JERI MURO
aliwachanganya nje ya uwanja kwa kuwatishia nyau na wao wakapoteana.
WATULIZE MPIRA UWANJANI