NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Uzi unaishi huu.
Kwani mwanzo ilikuwa inajiendesha vipi
Au kuna siku tulitembeza bakuli kama nyie ingawaje jisiemu mnae?
Usidanganyike... Mo akitoka atakuja mwingineHukumsikia Msemaji mstaafu jinsi mlivyokuwa mnaungaunga miaka 4 iliyopita?