kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 721
- 907
Mimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka uganda Engineer Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba dider gomez amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana wa mkude. #SIMBANGUVUMOJA
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha