Simba mna kipi cha kujivunia mbele ya Yanga?!

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
885
579
Msimu wa ligi ulivyoanza timu ya Simba ilikuwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mashindano yote anayoshiriki, lakini imekuwa tofauti,
Kombe la mapinduzi Simba ndiyo alianza kuaga Yanga akafuatia,
Kombe la Fa Simba alianza kuaga Yanga akafuatia,
Kimataifa Simba ameaga Yanga anaendelea,
Huku kwenye ligi kuu ni swala la mda tu, wanaludi kwenye nafasi yao,
Simba wanafurahia kuongoza ligi,
Yanga watafurahia kunyakua taji
 
Mwaka 2016

Mtangazaji: Unazungumziaje kushuka kwa kiwango cha timu yako ya Simba??

Haji Manara. Sio simba tu hata timu ya taifa na bara lote la Africa ndio maana huwezi kuona timu za Africa zinacheza michuano ya Euro.
 
Tusipokuza timu zingine na kuzifuta simba na yanga, tutaendelea kua wendawazimu.Huu ushabiki mandazi uko mpaka kwamarefa wetu.wanayabeba sana haya makongwe.
 
Huu mwaka unaonekana kuwa wa bahati kwa Yanga, lkn ndio mwaka utakaoingia ktk historia ya Yanga kutokutwaa hata kombe moja. Naweza nisieleweke now ila time will tell
 
Back
Top Bottom