Simba Mikumi anateseka

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Wakuu heshima mbele.

Nimesikitika kuona hii picha ya simba wa Mikumi akiteseka na hii ni siku chache tu tangu waziri wa maliasili awasimamishe viongozi wa Serengeti national park. Kuna uzembe wa hali ya juu kwa Park warden wengi katika mbuga zetu na hii ni kwasababu wamepewa madaraka makubwa na wanajiona kama miungu watu hata hawajali wanaingiza ngapi achilia mbali wanapoteza ngapi kwa uzembe wao. Hawahawa wameua kitengo cha daktari wa mifugo katika mbuga kwa kukifanya kiwe chini ya Ikologia (Ecology) wakati ktk mbuga zote anzia za South afrika hata hapa Kenya Daktari wa mifugo wana ripoti moja kwa moja kwa Mkurugenzi mkuu ili wasicheleweshwe katika kuhudumia wanyama. Waziri Kagasheki nakuomba mulika idara hizi na uhakikishe idara hii nyeti itenganishwe
 

Halafu bahati mbaya nasikia daktari wa Mikumi national park wamemfukuza kazi kisa kutofautiana na Chief park warden wa Mikumi na majungu

Picha angalia :: IPPMEDIA Simba anateseka mikumi
 
sa si ungetuwekea si wenye tochi?
.

Mkuu ummu kulthum umetaka Picha cha anachoongelea Reginamduma ni hili hapa


Agonising death of the King of the Jungle: Young lion doomed to starve after poacher's snare got caught so tightly round his neck he couldn't eat



It is a heartrending sight.

Wire snare caught so tightly around his neck he cannot eat, this young male lion is doomed to die a slow and agonising death.Within a matter of days he will be lying in the African bush gasping his last breath.

Nor is he alone in his grim fate. The sight is increasingly common in parts of the continent when a growing number of lions have fallen victim to poaching.Some wander by mistake into snares that are meant for other animals such as antelope which are hunted by poachers for bushmeat.





Desperately injured: The young male lion cub was spotted in Mikumi National Park in Tanzania with a poacher's snare twisted cruelly round his neck







Doomed to die: The wire was twisted so tight that the lion was unable to eat


Others, whoever, are being deliberately poached for their body parts.


There is now a growing demand for lion claws and bones in parts of the Far East for use in traditional medicines.
The huge animals are hunted more and more as a substitute for tigers, whose body parts have traditionally been used for the Chinese medicine market.



Read more: Lion with poacher's wire around neck in Tanzania | Mail Online
 
Inasikitisha. Na taarifa
za kwanza na picha za huyo simba sina hakika kama zilianzia kwetu au
mataifa ya nje. Kweli aibu tupu.

mmm! mie ningekuwepo karibu ningetafuta namna ya kumfungua. Naona jamaa walilinga kumtega mnyama anaeliwa lkn wakakuta kidume, wakasepa na kumwacha akiteseka.
 
daah jamaa anateseka kweli kweli...somebody has top do something
 
Imeniuma sana, hata hapa UDSM kalikuwepo ngedere mmoja naye alibanwa kiunoni,dah ilikuwa inaniuma sana kiasi kwamba nlikuwa sitaki hata kumwona.
 
Jamani mie mgeni hapa Tanzania, Simba huyu ndio yule alimchokoza Yanga kwa mbao 5 za masaburi?
 
Jamani mie mgeni hapa Tanzania, Simba huyu ndio yule alimchokoza Yanga kwa mbao 5 za masaburi?

ha ha ha ha jamii forum bwana.ila hakuna kumwonea huruma huyo simba akikukuta pekeyako porini anakurarua ile mbaya.
 
Kumfungua sawa ni awamu 1, mkutanapo wawili ni awamu 2, je kitatokea ni awamu 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…