lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
Eh! ina maana wewe hujawahi kusikia Yesu ni Simba wa Yuda!! au Islamu wewe? au Pagani wewe!!, Yes, our Lord Jesus Christ is Simba wa Yuda, due to his Power. Hili ni moja ya jina ambalo Yesu anaitwa kutokana na nguvu na uwezo wake, kwa wakristo watanielewa zaidi.
ok. sasa mkuu kuna uhusiano gani kati ya simba mnyama na yesu?