Simba mfalme wa nyika na mapori yote

Simba mfalme wa nyika na mapori yote

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Hivi nimejiuliza sana kwa nini simba anaitwa mfalme wa nyika yaani yeye ndio kidume ndani ya pori, simba ana umbo dogo ya kawaida sana ila cha ajabu ana nguvu za ajabu sana mpaka anaangusha wanyama wazito kama nyati,faru,twiga,nyumbu,punda, kwa nini simba ana nguvu sana na haogopi mnyama yoyote yaani yeye ni kushambulia tu.

Na ana ubavu hatari hata ngombe maksai atakalishwa chini atake asitake kuna usemi kuwa simba ana hirizi yenye nguvu za wanaume 40. ndio maana ana mapafu ya hatari. swali kwa nini simba anaitwa mfalme wa nyika? anayejua atujuze
 
Duh, yaani Lukelo Sakafu hujawahi kulike Comment hata moja humu JF?
 
umesahau baba anaweza kuwa nimfupi.mpole.hata akawa mlemavu ila akiamu jambo wewe utati hata kama wewe nimwanaume aliye kamilika.kwa hiyo mamlaka aliyonayo yanampa kibali ndiyo kama simba.

dont judge by shape or appearence.
 
Mkuu naona umeuliza swali alafu ukajibu na ukahitimisha na swali lile. In short simba akinguruma sauti yake itasikika umbali usiopungua km 10 kila upande kwa kuongezea kwenye food chain yeye yeye yupo juu kiasi kwamba anatafuna hata wala nyama wengine
 
umesahau baba anaweza kuwa nimfupi.mpole.hata akawa mlemavu ila akiamu jambo wewe utati hata kama wewe nimwanaume aliye kamilika.kwa hiyo mamlaka aliyonayo yanampa kibali ndiyo kama simba.

dont judge by shape or appearence.

umesomeka mkuu kwamba baba ni baba tu
 
Kwa mara ya kwanza Simba anaunguruma nikiwa niko mita 100 karibu yake kidogo nianguke!
Dah! Siku hiyo nilishikwa na wasi wasi ajabu!
Haikupita hata siku, naamka zangu saa kumi usiku kuelekea gym nakumbana na nyati kama mita 18 usawa wangu! Aisee nilidondoka chini kwanza, masai mmoja alikuwa nyuma yangu, alipoteza mwelekeo! Hahahaaa!!
Jamaa yangu nae mmoja hivi alikumbana na chui uso kwa uso kwenye walk-way baada ya huyo mnyama kupanda kwenye mti na kuibukia juu. Jamaa aliita kwa sauti yake yooooote aliyonayo! Ranger! ranger! ranger!.. Hahahahaaa!!
Serengeti national park imejaa adventures wadau asikwambie mtu..
Kwa wale ambao walishatembelea hii mbuga super power Tanzania na Afrika watakuwa wananielewaaa!!!
Aisee sitakaa nifanye mazoea na mnyama asiyefugwaa!.. Kamwe!!
 
Ufalme wake kwanza sijui kama anajijua lakini sifa yake ameipata kutokana na umbile lake yaani kama kavaa crown.

Sifa yake hiyo anaishi kama mfalme maana ni kulala tu siku nzima na ubabe anao hakuna mnyama anaeweza kumpa shida.
 
Hivi nimejiuliza sana kwa nini simba anaitwa mfalme wa nyika yaani yeye ndio kidume ndani ya pori, simba ana umbo dogo ya kawaida sana ila cha ajabu ana nguvu za ajabu sana mpaka anaangusha wanyama wazito kama nyati,faru,twiga,nyumbu,punda, kwa nini simba ana nguvu sana na haogopi mnyama yoyote yaani yeye ni kushambulia tu.

Na ana ubavu hatari hata ngombe maksai atakalishwa chini atake asitake kuna usemi kuwa simba ana hirizi yenye nguvu za wanaume 40. ndio maana ana mapafu ya hatari. swali kwa nini simba anaitwa mfalme wa nyika? anayejua atujuze

Mkuu simba acha aitwe simba ndo mana ukimuuliza mtu yeyote aliesoma wildlife management, THE BIG 5 WA PORINI asipomweka simba no 1 au 2 ujue ni kilaza
 
ufalme wake kwanza sijui kama anajijua lakini sifa yake ameipata kutokana na umbile lake yaani kama kavaa crown.

Sifa yake hiyo anaishi kama mfalme maana ni kulala tu siku nzima na ubabe anao hakuna mnyama anaeweza kumpa shida.

unaweza kumuita the king of jungle
 
Kwa mara ya kwanza Simba anaunguruma nikiwa niko mita 100 karibu yake kidogo nianguke!
Dah! Siku hiyo nilishikwa na wasi wasi ajabu!
Haikupita hata siku, naamka zangu saa kumi usiku kuelekea gym nakumbana na nyati kama mita 18 usawa wangu! Aisee nilidondoka chini kwanza, masai mmoja alikuwa nyuma yangu, alipoteza mwelekeo! Hahahaaa!!
Jamaa yangu nae mmoja hivi alikumbana na chui uso kwa uso kwenye walk-way baada ya huyo mnyama kupanda kwenye mti na kuibukia juu. Jamaa aliita kwa sauti yake yooooote aliyonayo! Ranger! ranger! ranger!.. Hahahahaaa!!
Serengeti national park imejaa adventures wadau asikwambie mtu..
Kwa wale ambao walishatembelea hii mbuga super power Tanzania na Afrika watakuwa wananielewaaa!!!
Aisee sitakaa nifanye mazoea na mnyama asiyefugwaa!.. Kamwe!!

Kwa lafudhi hii ya kichaga uliyomalizia nayo nimeamini!!!
 
Mhhhhhh! mpaka Yesu anaitwa Simba wa Yuda, unafikiri Simba ni mchezo
 
mkuu unamaanisha nini hapo?

Eh! ina maana wewe hujawahi kusikia Yesu ni Simba wa Yuda!! au Islamu wewe? au Pagani wewe!!, Yes, our Lord Jesus Christ is Simba wa Yuda, due to his Power. Hili ni moja ya jina ambalo Yesu anaitwa kutokana na nguvu na uwezo wake, kwa wakristo watanielewa zaidi.
 
Back
Top Bottom