Simba lango kuu la kucheza nje

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,965
Kweli Simba baba lao. Wachezaji wengi wamekuwa wakitaka kuchezea Simba kwa sababu future yao inaonekana ya kwenda kucheza nje.
Tunayo mifano mingi na hakuna anayebisha.
Hebu wadau wa Simba tulete majina ya watu waliotoka simba na kucheza nje.
 
Samata, Mrwanda, Ochan, Henry Joseph, Haruna Moshi alienda wakamzingua akarudi, Joseph Kaniki, Machupa, Emmanuel Gabriel, Nteze John, Musa Mgosi, Yusuf Macho na nyie mtataja wengine.
 
Kelvin Yondani,Mustapha Barthezi,Nurdin Bakari,Said Maulid SMG,Ramadhani Wasso,Akida Makunda,Marehemu Mehod Mogella "Fundi" na wengineo waliwahi kwa vipindi tofauti kuachana na soka la ubabaishaji la Msimbazi na kuingia kucheza soka la kimataifa Yanga
 
Nonda Shaban Papii, Monaco, Blackburn Lovers.
Nimeambiwa huyu naye alikuwa mchezaji wa Simba.
 
Mwigulu Nchemba na Job Ndugai. Hawa waliwahi kuwa midfielders wa mnyama.
 
Haahaa mtani vp subiri kesho wewe si umesema unamajembe tunayavalisha mipini kesho j5.
 
Samata, Mrwanda, Ochan, Henry Joseph, Haruna Moshi alienda wakamzingua akarudi, Joseph Kaniki, Machupa, Emmanuel Gabriel, Nteze John, Musa Mgosi, Yusuf Macho na nyie mtataja wengine.

Hao wooote ni ushuzi tu kwa mtu anaitwa Nonda Shaaban Papii.
Nonda katoka Yanga akaenda Vaal Profesional ya South akang'ara na akaenda ulaya ambako alipata kuchezea timu kubwa na kung'ara nazo miongoni mwao ni AS Monaco na AS Roma akicheza pale mbele na Francesco Totti.

Forza Yanga
 
Samata, Mrwanda, Ochan, Henry Joseph, Haruna Moshi alienda wakamzingua akarudi, Joseph Kaniki, Machupa, Emmanuel Gabriel, Nteze John, Musa Mgosi, Yusuf Macho na nyie mtataja wengine.
NILIONA PICHA YA ADEN NA MBUYI ,NILIFIKIRI ADEN AMESAJILIWA NA APR YA RWANDA AU LUPOPO AU NILIKOSEA KUISOMA MANAAKE ALIMPAKATIA TWITE NIKAFIKIRI WATACHEZA TIMU MOJA DUH ,SAMAHANI.:eyebrows:
 
we ndo unaongea ushuzi, nonda alipita tu na aliondoka kwa kutoroka baada ya kuona yanga kunamuwekea giza tu maana alikuwa anasotea benchi tu. Acha kufuata mkumbo wewe, na kama alichezea hiyo yanga hebu taja hata mechi moja aliyocheza akiwa kwenye hiyo timu ya bondeni na angalau goli moja la kukumbukwa alilofunga na aliuzwa kiasi gani huko sauzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…