Haahaa mtani vp subiri kesho wewe si umesema unamajembe tunayavalisha mipini kesho j5.Kelvin Yondani,Mustapha Barthezi,Nurdin Bakari,Said Maulid SMG,Ramadhani Wasso,Akida Makunda,Marehemu Mehod Mogella "Fundi" na wengineo waliwahi kwa vipindi tofauti kuachana na soka la ubabaishaji la Msimbazi na kuingia kucheza soka la kimataifa Yanga
Samata, Mrwanda, Ochan, Henry Joseph, Haruna Moshi alienda wakamzingua akarudi, Joseph Kaniki, Machupa, Emmanuel Gabriel, Nteze John, Musa Mgosi, Yusuf Macho na nyie mtataja wengine.
NILIONA PICHA YA ADEN NA MBUYI ,NILIFIKIRI ADEN AMESAJILIWA NA APR YA RWANDA AU LUPOPO AU NILIKOSEA KUISOMA MANAAKE ALIMPAKATIA TWITE NIKAFIKIRI WATACHEZA TIMU MOJA DUH ,SAMAHANI.:eyebrows:Samata, Mrwanda, Ochan, Henry Joseph, Haruna Moshi alienda wakamzingua akarudi, Joseph Kaniki, Machupa, Emmanuel Gabriel, Nteze John, Musa Mgosi, Yusuf Macho na nyie mtataja wengine.
we ndo unaongea ushuzi, nonda alipita tu na aliondoka kwa kutoroka baada ya kuona yanga kunamuwekea giza tu maana alikuwa anasotea benchi tu. Acha kufuata mkumbo wewe, na kama alichezea hiyo yanga hebu taja hata mechi moja aliyocheza akiwa kwenye hiyo timu ya bondeni na angalau goli moja la kukumbukwa alilofunga na aliuzwa kiasi gani huko sauzi.Hao wooote ni ushuzi tu kwa mtu anaitwa Nonda Shaaban Papii.
Nonda katoka Yanga akaenda Vaal Profesional ya South akang'ara na akaenda ulaya ambako alipata kuchezea timu kubwa na kung'ara nazo miongoni mwao ni AS Monaco na AS Roma akicheza pale mbele na Francesco Totti.
Forza Yanga