Simba Kwishney

Simba Kwishney

lyogo

Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
48
Reaction score
32
Muda huu mpira umeisha na wekundu wa msimbazi wamenusurika mdomoni mwa watoto wa Mwanjelwa nw Soweto. Ni baada ya refa kuhakikisha anawasaidia katika kutimiza ile kampeni ya Simba awe bingwa msimu. Wana Yanga kesho tafuna muwa huo tena wakati wa kiangazi huwa ni mtamu sana .
 
Bado unakunywa viroba? Juzi nyinyi hamkuifunga JKT RUVU kwa bao moja la penalty?
 
Subiri kesho uone muziki acha maneno ww
 
Hamtembei mpaka mbebwe mgongoni?
 
safari hii hakuna kubebwa na magoli ya netball mnyama ni mbele kwa mbele refa yeyote akitoa kadi nyekundu maana yake anaitabiria simba hivyo wanaume hatuogopagi kadi kwa mnyama ni kiki
 
Wana Yanga kesho tafuna muwa huo tena wakati wa kiangazi huwa ni mtamu sana .
Karibu tena jamvini urudie maneno yako. Mwenzenu amepoteza mke hivi hivi mechi yenu dhidi ya Simba sababu ya kubashiri kijinga. Na wewe endelea kubet umuweke bond mke wako kama jamaa yenu
 
Back
Top Bottom