Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,011 Reaction score 26,157 Aug 13, 2026 Thread starter #21 SankaraBoukaka said: Elimu yenyewe ndugu yangu ndo hii ya kina Simba ? Click to expand... Elimu mbalimbali?
SankaraBoukaka said: Elimu yenyewe ndugu yangu ndo hii ya kina Simba ? Click to expand... Elimu mbalimbali?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,097 Reaction score 62,048 Aug 13, 2026 #22 Jaji Mfawidhi said: Mtoto wa Zinaa ametajwa na Mtume na si jamb la kibinadamu. Yaani Mtoto wa Zuchu ndio pekee , anatambulika na alah, the rest ni watoto wa Zinah. Click to expand... Mambo ya dini ni itikadi waliojiwekea binadamu kwa manufaa yao, ingekuwa miili ya wengine ina damu na ya wengine ina juisi hapo kungekuwa na maana.
Jaji Mfawidhi said: Mtoto wa Zinaa ametajwa na Mtume na si jamb la kibinadamu. Yaani Mtoto wa Zuchu ndio pekee , anatambulika na alah, the rest ni watoto wa Zinah. Click to expand... Mambo ya dini ni itikadi waliojiwekea binadamu kwa manufaa yao, ingekuwa miili ya wengine ina damu na ya wengine ina juisi hapo kungekuwa na maana.