Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,961
- 26,052
NINYI wanaume, mnara wa babeli unaweza kusimama kwa mwanao wa kuzaa?Kuna mambo yanafikirisha sana
MfawidhiWewe ni
Akipita "kavu" anaacha mtoto, huyo mtoto ana rukhsa ya "kumla" tena ni dhawabu.Kwani Simba anaoa siku hizi? Mimi nilijua yeye ni mfalme wa nyika, kazi yake ni kuwinda tu na kuacha broken hearts kila mahali anapopita.
WAKBAR!Takbeeeerrr!!!!!
Somi zaidi na tafsida.Hii nyuzi imekaa ki
Hapo nina 7 years nilikuwa nasoma bila kuwa na akaunti. Tumeanzia kwenye blog za Issa michuzi.10 years ndani ya Jamii Forums
kwahiyo uli-join JF hiyo FEB 20, 2016 bila kuwa na akaunti.Hapo nina 7 years nilikuwa nasoma bila kuwa na akaunti. Tumeanzia kwenye blog za Issa michuzi.
Google JF, unaweza soma nyuzi ila huwezi comment, i was doing the same for past 7 years till 2016 nikaamua niwe nawaelimisha vijana humu nikafungua akaunti.kwahiyo uli-join JF hiyo FEB 20, 2016 bila kuwa na akaunti.
Elimu yenyewe ndugu yangu ndo hii ya kina Simba ?Google JF, unaweza soma nyuzi ila huwezi comment, i was doing the same for past 7 years till 2016 nikaamua niwe nawaelimisha vijana humu nikafungua akaunti.
1. Mtoto wa Zinaa.Mtoto ni mtoto tu, hayo ya zinaa ni utaratibu wa kibinadamu waliojiwekea ili kuishi kiistaarabu.
Mtoto wa Zinaa ametajwa na Mtume na si jamb la kibinadamu.Mtoto ni mtoto tu, hayo ya zinaa ni utaratibu wa kibinadamu waliojiwekea ili kuishi kiistaarabu.