Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji cha Simba kinaweza kumtoa giant Al Ahly.

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga max mzengeli yao.

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa.

NB: Kama utam betia kolo, basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puli.

1692003387727.jpg
 
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa

NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Hii mechi hata wenyewe wanakubali ilifikia wakati walikuwa wanaombea mpira uishe.
 
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa

NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Msitupangie Simba,mgekuwa bora hiyo nafasi ndo ungekuwa yenu
 
Inaonekana Simba kupata nafasi ya kucheza hiyo michuano inawauma Sana, hii sijui itakuwa thread ya ngapi kuanzisha kuhusu Simba na hii michuano.
Hicho kikosi unachokisifia kilifungwa na Simba 2-0 na baadae kufungiwa kwenye ngao ya jamii.
Pia msisahau msimu uliopita mlikuwa pamoja na Simba kwenye hatua ya awali ya michuano mikubwa Africa Ila mkaangukia kwenye loser cup.
 
Back
Top Bottom