Simba kapakatwa pub

Shabiki mmjoa wa yanga baada ya chagga bite kufungwa kaamua kufungua
juzi baada ya kupakatwa zanzibar nasikia kahama pub!
 
Jamaa wa msimbazi itakuwa hawafiki hapo..hahhahahaha!
 
hahahahahahahahaha, very creative!@!!!!!!!!!
 
Wameona magazeti yote wameshanunua hayatoshi...
 
nlipita nkacheka sana. Ivi uyu mjamaa alimweleza nini mpaka simba akawa mpole vile?

Ni ufundi tu wa kubembeleza aliyonao mpakataji. Kumbuka usemi wa" maneno matamu yalimtoa nyoka pangoni"
 
Jamani hivi ni kweli kwamba simba anapakatika??
 
hapa kuna kitimoto bana ndo maana watu wanavinjari halafu si unajua chaga bite haipo siku hizi watu tunaenda pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…