Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

Nikiachana na ushabiki lialia kwa Simba, mzee Rage kasema ukweli.
Rage na Kigwangala hawana tofauti wameifanyia nini Simba,
Wewe unamfahamu Rage Vizuri,
Hawa jamaa walishakaa pembeni waache kutoboa jahaz , Safar ni hatua.
Hata Roma haikujengwa siku mmoja.
 
Ndugu shukrani sana ila amenifanya niwe na stress nyingi sana
Usiwe na stress kisa mtu mmoja ambaye hajitambui. Anakutukania mama yako ikiwa yeye pia amezakiwa na mama yake achana nae. Aliyotukana hayo yoote kamtukana mamayake wala sio mamayako. Mpuuzie tu
 
Sijui kwa nini Simba na Yanga wanapenda kuongelea tu fedha za Mtu mmoja. Simba wanaongelea fedha za MO, na Yanga wanaongelea fedha za GSM.

Kwa nini Simba wasiongelee zile 51%?
 
Yaani watanzania hawafuatilii vitu wanamsikiliza manara na kigwangala Instagram hilo swali kila siku linajibiwa kwamba simba wamenunua bond za serikali faida ndo inaenda simba achana na manara na kigwangala wanakupoteza.
 
Hivi watanzania Tunaelewa Gharama za Kuendesha Club Ya Mpira? Sasa Billioni 20 ni nini? Kwamba simba hawana matumizi kabisa?

Mbona Billioni 20 kwa Club kama Simba Ni hela Ndogo ilipaswa itumike kulipa Mishahara ya wachezaji na Makocha kwa Mwaka Iwe imeisha.

Simba Billioni 20 labda wafanye biashara ila wakisema waitumie kwa kusikiliza watu hata msimu mmoja hawatoboi shida zina Rudi pale pale

Kocha wa Al ahaly wanao shindana na Simba Mshahara wake kwa Mwaka ni zaidi ya 1 billioni kuna wachezaji wanasajiliwa kwa billions of money yao washindani wetu billioni 20 wanatumia for 6 months sisi ndio tunataka hizo zijenge uwanja na Ziende Club eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…