DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Comments reservedSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu.
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Toa neno mzee wa "comments reserved"Comments reserved
Kwa hiyo tuwaite Gwan kama wajamaica?YANGA TUPO JANGWANI .WE ZOMBI WE HAUJUWI!
Yaani hajui kama yanga sc iko jangwani?, Mjibu basi, unataka nifikiri mnavyotaka nyie? Someni kuhusu, social inferenceToa neno mzee wa "comments reserved"
Na jangwani?
Mmeielewa mada lakini?Yaani hajui kama yanga sc iko jangwani?
Tumekuelewa tunatumia, social inference yaani kufikiri zaidi ya unavyo fikiria, yaani anaye tatua tatizo inatakiwa awe na akili kuliko aliyetengeneza tatizoMmeielewa mada lakini?
Nionyeshe hata chocho lolote nchi hii achilia mbali mtaa ambao umepewa jina la Utopolo? Kimbiji kwenyewe mnakaa mji wa Avic ambaye usishangae kukuta naye ni mnyamaTumekuelewa tunatumia, social inference yaani kufikiri zaidi ya unavyo fikiria
Twiga na Jangwani. Vinahusiana vipi na jina la Yanga? Kwa hiyo Mzee Magoma enzi zao walishindwa kubadili eneo hilo likaitwa Yanga? Anyway, wanasema usiamshe waliolala.Yanga Ipo Mtaa Wa Twiga Hapo
No comment wacha tuoneSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Uzi tayari?Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.