Hii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...Kati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?
Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.
Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
Sasa nimeelewaHii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...
Jibu hoja za Ngome fcKati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?
Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.
Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
πππΈ Wewe utakua
Ila hii ni aibu mkuu[emoji23][emoji23]Kati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?
Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.
Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
Hujaelewa kumbe.....mwanzoni Simba waliweka logo ya timu ya zenji.....Baada ya kuona kimeumana wame edit chaapHii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...
Kolo ana jifungia ndani na kuedit matokeo ya mechi[emoji23]Mbona wenzao walipigwa sita hawakubisha na maisha yanaendelea
Mnaweza mka share experience mliwezaje kuvuka kipindi hicho cha mpito mpaka saizi hali hii mmeiona ya kawaida?
View attachment 2744081