We jamaa unakatwa.mbona unaongea pumba sana brother
ni mafanikio gani ambayo yanga kayapata fasta
au ndo huelewi unacho kisema
ndio maana mnaonekana wa hovyo.
simba klab bingwa kashiriki mara 3
na shirikisho mara 1 japo anaishia robo fainali kwa miaka ya hivi karibuni.
yanga kwa miaka hivi karibuni ndo kwanza msimu huu kaingia hatua ya makundi tena kombe la shirikisho baada ya kutolewa kule klabu bingwa na ndo kwanza yupo nae hatua ya robo fainal
sasa ebu nambie ni mafanikio gani yanga kapata fasta
dah! Ujue mna viherehere mpaka mnachosha
Kila siku uzoefu tuSimba asipopita atajipanga kwa mashindano yajayo. Simba inaendelea kupata uzoefu wa mashindano haya makubwa.
AaaahaaaMnyama anashangaa huku anaogopa
Wewe ulitakaje Mkuu? Tuseme tumeshatoka kabla ya mechi ndo ufurahi?Tumeanza kupeana mioyo kishamba shamba sasa. Simba hawezi kumtoa mwarabu
Kuna timu nyingine nchini iliyofika hapo msimu huu ili tuitumie kama reference ya kuwalaumu Simba kwa kutokuendelea mbele?Kila siku uzoefu tu
Utopoloni tunaamini Simba wote ni mbumbumbu yaani kolo kamwe hawezi kuwaza nje ya box! Like hapa nadhani ungewaza zaidiKwa msimu huu, binafsi sina deni na Simba. Sasa hivi nasubiri nione usajili utakaofanyika kwa mashindano yajayo.
Promo wakati mnapigwa vipigo heavyweight....,then mnajishusha thamaniKlabu bingwa ndo hua ina promo kubwa
sasa yanga yupo shirikisho atazungumziwa na nani
yanga ubora wake utazungumziwa na mashabiki wake ambao ndo wanaona kwamba ni timu tishio
kwahiyo CAF waipe promo shirikisho waachane na ligi ya mabingwa
sijui hua mnaongea nini nyie wehu
Haya mbona ni maswali ya wanaoshinda vijiweni bila kazi? Mnabishana weee siku inaisha.Utopoloni tunaamini Simba wote ni mbumbumbu yaani kolo kamwe hawezi kuwaza nje ya box! Like hapa nadhani ungewaza zaidi
shida si kusajili Bali unasajili nani , ana kiwango Gani na je una kocha? Wa level Gani? Je ukisajili kutakuwa na muunganiko kitimu? Je mna hela? je mnalipaje? Je wachezaji Wana furaha, je wachezaji Wana morali? Je wachezaji wanaojitambua mnao?
Mambo ni mengi sio kusajili tu!
Hii level ya boli la Yanga kwa sasa sio miaka michache Makolo kuifikia!! Hebu Ona Mudathir alivyo moto mnapitaje katikati kwa mfano? Bangala, Musonda, Mayele hatari sana!!
Simba imefeli pakubwa mno kujipanga ni five years!!