Simba inapokuwa Sunderland ya EPL

Simba inapokuwa Sunderland ya EPL

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Simba imetambulisha jezi itakayotumika kwenye mechi ya kimataifa dhidi ya Liboro. jezi hizo ni msaada kutoka sunderland tatizo kwenye jezi logo imebaki kuwa ya sundarland hakuna logo ya simba. Kilichofanyika wameongeza chata ya kilimanjaro 2. Hii ni aibu kwa taifa na timu kubwa kama Simba hapa viongozi wamechemka. Nakumbuka africa lyon walikatazwa kutumia jez walizopewa na seattle sounders ya USA kwasababu logo ilibaki vilevile. sijui 2naelekea wapi aisee
 
huna haja ya kulalamika kiasi hicho,bacelona ya leo hapo nyuma ilikuwa c ki2 kwa kukataa ufadhili wa makampun lakin baada ya kubadili mwelekeo wamekua timu bora so kwa simba kufanya hvyo n moja ya hatua kwa maendeleo na kwa mawazo yangu sioni sababu ya kutofanya hvyo.kmbuka tunahtaji maendeleo ktk timu zetu so kwa lolote viongoz wataona lnafaa kwa maendeleo ya tmu acha wafanye!
 
hakuna ambae hataki maendeleo mkuu tatizo jezi hata logo ya simba hakuna kimataifa 2naonekanaje? simba ni timu kubwa inamashabiki zaidi ya millioni 5, sasa apo 2natofauti gani na timu za mchangani zinazotumia jezi za barca, man utd, real madrid na arsenal
 
TFF wapo bize na Wambura na Malinzi.
hawa mabwana pamoja na wengine wenye upeo kama wao hawatakaa waiongoze tff kama nia yao labda mpaka mfumo wa utawala ubadilike na hapo watakuwa vikongwe. Mpira wa hapa unaendeshwa na watu wachache wanaojiita wapenzi ambao upeo wao ni kutumiwa ili matumbo yaingie chochote. Ni ajabu jinsi walivyoukamata mfumo, waliobakia ni washabiki tu
 
Wakuu mtanisamehe kidogo, mimi huwa nachoshwa na tabia ya watu wavivu wa kufikiri!
Mtoa mada tuambie hizo jezi za Sunderland, zimeandikwaje kifuani? Jezi za Sunderland huandikwa "Invest in Africa", hupendi hayo maneno au hupendi nini mpaka utoe mapovu yote hayo?

:target:
 
Kwani kuna jezi za Simba ambazo zimeandikwa "Simba Sc" au "Simba Mnyama"?
Sasa wewe unasaidiwa bado unalalamika..kweli hata wewe hufai kuitwa "great thinker", kuwa JF, hakuna faida kama unapenda kulalamika tu! Toa suluhisho basi..acha kulia kila wakati..:becky:
 
kweli mkuu, ilo ndo tatizo linalo2sumbua
 
Nimetembelea kwa "Bin Zubeiry" blog, nimeona mapicha ya Rage na mfadhili wa Simba anajiita "Malkia wa Nyuki", wakitambulisha jezi hizo, rangi ni sawa na rangi ya jezi ambazo Simba huwa wanatumia, "kasor" moja niliyoona..nembo ya timu wametumia ya Sunderland, maneno ya wadhamini hanaya shida sana, kuna "INVEST IN AFRICA" na "KILIMANJARO", kuna mambo ya kufikiria:
-simba watapata mapato kwa kuitangaza Sunderland Fc?
-Je, simba itahitaji kubadili au kuongeza jina Sunderland kwenye jina lake?
 
Wakuu mtanisamehe kidogo, mimi huwa nachoshwa na tabia ya watu wavivu wa kufikiri!
Mtoa mada tuambie hizo jezi za Sunderland, zimeandikwaje kifuani? Jezi za Sunderland huandikwa "Invest in Africa", hupendi hayo maneno au hupendi nini mpaka utoe mapovu yote hayo?

:target:

napata shida sana kama nchi hii 2taendelea kuwa na wa2 wa aina yako,
ebu niambie zile Jezi zina logo ya Sundarland logo ya Simba haipo apo 2nasomekaje kimataifa ukizingatia Simba ni iconic club ya tanzania kimataifa.
Jina la timu lingine na jezi ina jina lingine hapa 2naelewekaje?
Hili ni tatizo la kizazi kinachopenda misaada badala ya kujituma na kuwa wabunifu.
Kumbe wakina chief mangungo bado mpo kizazi hiki pole sana
 
Kwani kuna jezi za Simba ambazo zimeandikwa "Simba Sc" au "Simba Mnyama"?
Sasa wewe unasaidiwa bado unalalamika..kweli hata wewe hufai kuitwa "great thinker", kuwa JF, hakuna faida kama unapenda kulalamika tu! Toa suluhisho basi..acha kulia kila wakati..:becky:

acha uvivu wa kufikiri mkuu, wa2 kama nyinyi mnaopenda misaada kuliko kuji2ma na kuwa wabunifu ndo mnaharibu hii nchi,
timu inaitwa Simba jezi inayotumika inaLOGO ya sunderland logo ya simba haina, apo simba inajitangazaje itapataje wadhamin wa kimataifa kama haitumii jezi zake yenyewe?
 
Nimetembelea kwa "Bin Zubeiry" blog, nimeona mapicha ya Rage na mfadhili wa Simba anajiita "Malkia wa Nyuki", wakitambulisha jezi hizo, rangi ni sawa na rangi ya jezi ambazo Simba huwa wanatumia, "kasor" moja niliyoona..nembo ya timu wametumia ya Sunderland, maneno ya wadhamini hanaya shida sana, kuna "INVEST IN AFRICA" na "KILIMANJARO", kuna mambo ya kufikiria:
-simba watapata mapato kwa kuitangaza Sunderland Fc?
-Je, simba itahitaji kubadili au kuongeza jina Sunderland kwenye jina lake?

apo ndo nilipoishiwa nguvu
 
Tuwe wakweli yaani Simba inanunuliwa jezi na chupi na bado tunaona fahali? Simba haina uwezo wa kununua jezi? sasa kwa nini mlipiga kelele mtu kupewa suti?

Hii ni aibu kwa Rage,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom