Simba inahangaikia sana Kombe la Looser

Simba inahangaikia sana Kombe la Looser

Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
Ni wa kukupuuza tu!
FB_IMG_1741771581226.jpg
 
Waliambiwa wasajili wachezaji wazuri waka puuza, ona wanavyo ji dhalilisha na kui dhalilisha Nchi kwa mambo ya hovyo ya kishirikina!!
Nguvu wanayo itumia sasa kwenye ushirikina wangeitumia kwenye usajili wasingekua wanahangaika sasaivi.
 
Hiv nyie mmesajili wachezaji wazuri co????hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
Sikuhizi maluza huenda nyumbani hawaendi huko tuli waita yanga hivyo kwakua walikua wanatoka kwawakubwa kujahuku
 
Yaani jinsi ilivyokuwa inaliponda halafu eti leo hii ndio wanalipambania kwa nguvu zote hadi kutumia ulozi na uchawi.
😂😂😂Walivyokuwa wanaliponda ila wanalihangaikia hadi sio poah
 
Back
Top Bottom