Simba inacheza mpira wa hovyo mpaka aibu.

laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,003
9,731
Wana jf,

Jumapili nilihudhuria mechi ya Simba na Mbeya City hapaa Mbeya. Nilichokiona huko ni tofauti na matarajio yangu, kwa jinsi Simba inavyosifia kwenye vyombo vya habari nilidhani ni bonge la timu inayotandaza kabumbu safi .

Nikiri tu wazi Simba ni timu yenye mpira wa hovyo sana., ball possesion hawana, pasi hazifiki kwa walengwa. Okwi akipata mpira anakimbia tu kama mwehu hana malengo hata magoli anayofunga ni yakubahatisha tu, goli alilofunga Kichuya ni offside ya wazi kabisa , hata timu yangu ya nyumbani NJOMBE MJI inacheza mpira mzuri kupita Simba..Simba wajirekebishe watafute kocha mwingine kwa mpira huu ubingwa watausikia redioni tu. Nimejutia kiingilio nilichotoa na muda niliopoteza bora ningeenda kunywa bia
 
Mkuu umeandika kwa jazba sana kunywa maji kwanza! mimi ni fan wa simba ni kweli unachokisema hata mimi nimekiona! kiukweli sifa ziende kwa watoto wa singida! singida united wanaupiga mwingi sana aisee!
 
Na wewe Pimbi Kweli... Kwahiyo Njombe Mji inasakata Mpira Safi na ndiyomana inaongoza Ligi ama?

Nyie [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] mutabweka Sana Mwaka Huu lakini Simba Haifungiki hata kama inacheza Sindimba badala ya Mpira.
 
Na wewe Pimbi Kweli... Kwahiyo Njombe Mji inasakata Mpira Safi na ndiyomana inaongoza Ligi ama?

Nyie [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] mutabweka Sana Mwaka Huu lakini Simba Haifungiki hata kama inacheza Sindimba badala ya Mpira.
Ana akili ya kifaranga cha bata ameshsahau mara hii njombe walitandikwa 4G na mnyama
 
sasa subiria singida watakavyolazwa na Simba..dadeki mwaka huu lazima muite maji maa

4597904fef5bb529fb4647994bcbe97d.jpg
Subiri kwanza! dakika 90 zitaongea
 
Tunaomba takwimu za mechi kati ya Mbeya City vs. Simba na Simba vs Njombe Mji tujiridhishe.
Otherwise itakuwa ni opinion yako tu, kitu ambacho ni sawa
 
Back
Top Bottom