Simba ina wazee wa hivihivi tu

Simba ina wazee wa hivihivi tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba.

Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia.

Wazee wa Simba walipaswa kujua kuwa Simba (isiyodhaminiwa na GSM) pia imefungwa magoli mengi na Yanga mara 4 mfululizo sasa.

Wazee wa Simba walipaswa kumshauri mo, mdhamini wao azifadhili zile timu 8 ambazo hazina ufadhili wa GSM kama wanadhani kufadhili timu nyingi ni sababu ya kupata ushindi. kwanini wanaiacha hii fursa?

Wazee wa Simba wanasahau kuwa timu zetu zinahitaji wadhamini wengi ili kusaidia kuimarisha timu zao kwenye ligi. Wanataka timu zikose hata nauli ya kusafiri kwenda kwenye mechi ili iwe rahisi kwao kuuza mechi.

Wazee wa Simba hawajui kwamba kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja hukumu yake sio kuahilisha mechi. Wana madai ambayo yanachosha masikioni kuyasikiliza, kama watoto.

Wanashindwa kutoa maelezo juu kwanini Simba haikuadhibiwa baada ya kuwasajili wachezaji wenye mikataba hai na timu nyingine kinyume cha kanuni.

Hawaelezi ni kwanini TFF imeruhusu ligi kuwa na wachezaji wengi wageni. Idadi hii kubwa ya wachezaji ilikuja wakati Yanga haina mdhamini baada ya Yusuf manji kuondoka na mo kuwa mdhamini wa Simba. TFF ilidhamiria kuinufaisha Simba pekee yenye nguvu ya fedha wakati huo.

Wazee hawa hawashangai kwanini kuondoka kwa Feitoto Yanga ilitumika busara lakini kuondoka kwa Dube Azam ilitumika kanuni.

Wazee hawasemi kwanini Simba wana magoli mengi ya penati na ya hivihivi tu.

Wana wazee wa hivihivi tu.
 
Hawa wazee naamini ile kukaa masaa 3 na mbuzi kwenye basi huku vioo vya bus vikiwa vimefungwa naona waliathirika na ile harufu ikizingatiwa mbuzi wengi walikuwa mabeberu
 
Kama unadhani Azam ndiye mdhamini wa timu za ligi na sio ana mkataba na TFF kuhusu haki za matangazo basi hao wazee sio saizi yako, wewe akili yako inafanana na wazee wa Utopolo waliohamasisha nyie washabiki wa Utopolo kugomea bidhaa za Azam kisa Feitoto, sijui mlifikia wapi kwenye ule mgomo
 
Mbona TFF ilikuwa na mkataba na GSM wa kudhamini ligi lakini Simba waliigomea na TFF wakawasikuliza Simba?
 
Kama unadhani Azam ndiye mdhamini wa timu za ligi na sio ana mkataba na TFF kuhusu haki za matangazo basi hao wazee sio saizi yako, wewe akili yako inafanana na wazee wa Utopolo waliohamasisha nyie washabiki wa Utopolo kugomea bidhaa za Azam kisa Feitoto, sijui mlifikia wapi kwenye ule mgomo
Wazee ni wa hivivi TU; roporopo
 
Yaani wazee wa simba inshort ndio watoto wa mjini sasa.
Walikaa msimbazi na kkoo. Bonde la yanga lile wao kule hufata kahawa, au machuma chuma na madude mabovu. Kama koki za mabomba na kusafirisha mizigo. Miaka kenda. Sahivi wamehamia hukooo, chanika, mvule, mbagala na gongolamboto. Na kila asubuhi wanarudi kkoo.
Wao ni zaidi ya hao vijana tena vijana tunawaiga wao. Hivo kebehi wanazijua, kuipenda timu yao wanaipenda na la mwisho umjini umjini wanao sana. Ukienda wanaenda. Ukirudi wanarudi, wao wataumia kuhusu timu yao lakini kushindwa hawawezi kubali. Usiwaletee umjini. Maana wao ndio wamjini haswa. Wana msimbazi.
Haya sema Mavauuumbooowww.
 
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea kusema na kutenda kama vijana wengine.

Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC.

Wazee wa Simba walipaswa kujua kuwa Simba (isiyodhaminiwa na GSM) pia imefungwa magoli mengi na Yanga mara 4 mfululizo sasa.

Wazee wa Simba walipaswa kumshauri mo, mdhamini wao azifadhili zile timu 8 ambazo hazina ufadhili wa GSM

Wazee wa Simba wanasahau kuwa timu zetu zinahitaji wadhamini ili kusaidia kuimarisha timu zao kwenye ligi. Wanataka timu zikose hata nauli ya kusafiri kwenda kwenye mechi ili iwe rahisi kwao kuuza mechi.

Wazee wa Simba hawajui kwamba kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja sio kuahisha mechi. Wana madai ambayo yanachosha masikioni kuyasikiliza, kama watoto.

Wanashindwa kutoa maelezo juu kwanini Simba haikuadhibiwa baada ya kuwasajili wachezaji wenye mikataba yao kinyume cha kanuni.

Hawaelezi ni kwanini TFF imeruhusu ligi kuwa na wachezaji wengi wageni. Idadi hii kubwa ya wachezaji ilikuja wakati Yanga haina mdhamini baada ya Yusuf manji kuondoka na mo kuwa mdhamini wa Simba.

Wazee hawa hawashangai kwanini kuondoka kwa Feitoto Yanga ilitumika busara lakini kuondoka kwa Dube Azam ilitumika kanuni.

Wazee hawasemi kwanini Simba wana magoli mengi ya penati na ya hivihivi tu.

Wana wazee wa hivihivi tu.
Kuifunga Simba ni sehemu tu ya mkakati wa kutakatisha mipango yenu miovu.
Hakuna asiyejua jinsi mlivyowekeza kichawi,kuhonga waamuzi na baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.

Ukweli upo wazi,mmechukua ubingwa mara nyingi lakini kimataifa hamfanyi vizuri sababu zikiwa ni ushindi wa mipango mipango tu
 
Nilitaka kukuonyesha kuwa Simba na Azam hazina udhamini wa GSM lakini zinapokea vipigo kwa Yanga. Wazee wa hivihivi hawana hoja zaidi ya uroporopo kama ile ya vijana vijana wao akina Kisugu na GB64. Wao walikuwa wanatakiwa kutafakari kabla ya kuongea.

Mzee anaposema Yanga imemhonga Aishi manara bila kutoa ushahidi wowote ni kuonyesha uhivihivi tu wa wazee.
 
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba.

Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia.

Wazee wa Simba walipaswa kujua kuwa Simba (isiyodhaminiwa na GSM) pia imefungwa magoli mengi na Yanga mara 4 mfululizo sasa.

Wazee wa Simba walipaswa kumshauri mo, mdhamini wao azifadhili zile timu 8 ambazo hazina ufadhili wa GSM kama wanadhani kufadhili timu nyingi ni sababu ya kupata ushindi. kwanini wanaiacha hii fursa?

Wazee wa Simba wanasahau kuwa timu zetu zinahitaji wadhamini wengi ili kusaidia kuimarisha timu zao kwenye ligi. Wanataka timu zikose hata nauli ya kusafiri kwenda kwenye mechi ili iwe rahisi kwao kuuza mechi.

Wazee wa Simba hawajui kwamba kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja hukumu yake sio kuahilisha mechi. Wana madai ambayo yanachosha masikioni kuyasikiliza, kama watoto.

Wanashindwa kutoa maelezo juu kwanini Simba haikuadhibiwa baada ya kuwasajili wachezaji wenye mikataba hai na timu nyingine kinyume cha kanuni.

Hawaelezi ni kwanini TFF imeruhusu ligi kuwa na wachezaji wengi wageni. Idadi hii kubwa ya wachezaji ilikuja wakati Yanga haina mdhamini baada ya Yusuf manji kuondoka na mo kuwa mdhamini wa Simba. TFF ilidhamiria kuinufaisha Simba pekee yenye nguvu ya fedha wakati huo.

Wazee hawa hawashangai kwanini kuondoka kwa Feitoto Yanga ilitumika busara lakini kuondoka kwa Dube Azam ilitumika kanuni.

Wazee hawasemi kwanini Simba wana magoli mengi ya penati na ya hivihivi tu.

Wana wazee wa hivihivi tu.
Na walisajili wachezaji 12 badala ya 10 wakigeni kabla kanuni haijapitishwa kumbe walikua wameshatonywa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250327-190315.png
    Screenshot_20250327-190315.png
    1 MB · Views: 15
Na walisajili wachezaji 12 badala ya 10 wakigeni kabla kanuni haijapitishwa kumbe walikua wameshatonywa.
Mungu si athumani, sasa wamenasa kwenye tenga la Yanga, wanatafuta busara kutoka serikalini.
 
Na walisajili wachezaji 12 badala ya 10 wakigeni kabla kanuni haijapitishwa kumbe walikua wameshatonywa.
Wakati TFF inapitisha kanuni ya wachezaji 10 Yanga ilikuwa inatembeza bakuli, maana yake sheria ile waliilenga iwanufaishe Simba kwanza labda na Azam wenye misuli ya kifedha wakati ule. TFF ikapendekeza KIBU denis kupatiwa uraia hivihiiivi lakini wazee wa hivihiiivi wanang'aka wachezaji wa singida kuoewa uraia. TFF ilitunyang'anya Morrison, Kagoma. Refa aliyeinufaisha Simba kwa kadi nyekundu ya kihuni hadi ikafutwa hakuchuliwa hatua. TFF ilipendekeza kwa CAF Yanga ipewe adhabu kwa mashabiki wake kuingia na tochi uwanjani wakati timu nyingine zinaifanyia Yanga uhuni kama huohuo na zaidi bila kupewa adhabu.

Kifupi TFF na Simbaaa, wee acha TU.
 
Mzee mwenye akili hawezi kuchanganywa na Mbuzi katika gari moja.
 
Mnacheza lini na al ahly caf champions league wazee wakimataifa.
 
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu.
Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba.

Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia.

Wazee wa Simba walipaswa kujua kuwa Simba (isiyodhaminiwa na GSM) pia imefungwa magoli mengi na Yanga mara 4 mfululizo sasa.

Wazee wa Simba walipaswa kumshauri mo, mdhamini wao azifadhili zile timu 8 ambazo hazina ufadhili wa GSM kama wanadhani kufadhili timu nyingi ni sababu ya kupata ushindi. kwanini wanaiacha hii fursa?

Wazee wa Simba wanasahau kuwa timu zetu zinahitaji wadhamini wengi ili kusaidia kuimarisha timu zao kwenye ligi. Wanataka timu zikose hata nauli ya kusafiri kwenda kwenye mechi ili iwe rahisi kwao kuuza mechi.

Wazee wa Simba hawajui kwamba kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja hukumu yake sio kuahilisha mechi. Wana madai ambayo yanachosha masikioni kuyasikiliza, kama watoto.

Wanashindwa kutoa maelezo juu kwanini Simba haikuadhibiwa baada ya kuwasajili wachezaji wenye mikataba hai na timu nyingine kinyume cha kanuni.

Hawaelezi ni kwanini TFF imeruhusu ligi kuwa na wachezaji wengi wageni. Idadi hii kubwa ya wachezaji ilikuja wakati Yanga haina mdhamini baada ya Yusuf manji kuondoka na mo kuwa mdhamini wa Simba. TFF ilidhamiria kuinufaisha Simba pekee yenye nguvu ya fedha wakati huo.

Wazee hawa hawashangai kwanini kuondoka kwa Feitoto Yanga ilitumika busara lakini kuondoka kwa Dube Azam ilitumika kanuni.

Wazee hawasemi kwanini Simba wana magoli mengi ya penati na ya hivihivi tu.

Wana wazee wa hivihivi tu.
Wale siyo wazee ila ni vijana wezetu wa makamu wanaonekana vile kwa sababu ya ugumu wa maisha.
 
Back
Top Bottom