Simba imezuiwa hotelin kwenda uw/Taifa kwa deni

Simba imezuiwa hotelin kwenda uw/Taifa kwa deni

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
4,716
Reaction score
8,098
Wekundu wa msimbaz wamezuiwa kutoka kwenye hotel ya Sapphire court ya kkoo had walipe deni,Simba walikua wanatoka kwenda kuwavaa coastal union.
Viongoz wanahaha kuitoa timu iwah mechi.

source;mmoja wa wachezaj wa Simba
 
......hayo ndo matunda ya kumuendekeza Rage na kundi lake; haiwezekani Club ikakosa pesa ya kulipia vyumba vya wachezaji kwa huo muda mfupi wanaokaa humo Hotelini.
 
......hayo ndo matunda ya kumuendekeza Rage na kundi lake; haiwezekani Club ikakosa pesa ya kulipia vyumba vya wachezaji kwa huo muda mfupi wanaokaa humo Hotelini.

Wamesharuhusiwa baada ya viongozi kuji commit kwa maandishi kulipa deni hilo
 
mabalaaaaa kwa kweli tutashinda hata hii mechi sijui
 
Wamesharuhusiwa baada ya viongozi kuji commit kwa maandishi kulipa deni hilo
Poa kiongozi; ila naona kuna uzembe wa maksudi unafanyika ndani ya Club. watapelekaje Wachezaji Hotelini wakati wanajua hawana pesa za kulipia gharama!!!!
 
Ina maana hela hawana pia hawaaminiki kuwa watalipa deni baadae. Pole zao.
 
Jamani huyu Rage anatuharibia timu yetu.
Rage amezuga anaumwa kaenda india kumbe anakula hela ya timu na leo tumeumbuka wanamsimbazi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aisee hii ishu ni kweli. Aibu kubwa sana, yaani mtangazaji anasema Simba wameingia moja kwa moja uwanjani wakati Coastal washajipanga wakisubiri kipyenga wanyakue point 3 za buuuuure.
 
Yule Malikia wa nyuki mbwembwe zake zimeishia wapi? au Rage kavuta mkwanja wote?
 
sasa mliopo uwanjani mtumiminie mauhondo....ishakuwa thread ya kupeana matokeo......ngapi ngapi?
 
Back
Top Bottom