mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 597
Soka na Siasa haviambatani, tukipigwa ban tutaanza kuwasifia Viongozi wa simbaJana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
Mna uelewa mdogo sana.Charity contribution inaweza vipi kusababisha ban? Serikali ya hao hao ccm kila siku inatoa pesa ,inajenga viwanja nk.mbona hawakatazwi?Soka na Siasa haviambatani, tukipigwa ban tutaanza kuwasifia Viongozi wa simba
Mna uelewa mdogo sana.
Wala hautakiwi kubishana aende tu kwny page ya Yanga na Aly Kamwe aone wananchi aka matofali fc walivyocharukaView attachment 3440204
Tuambie wewe uelewa wako kati ya hawa au yule aliekuwa anamlilia ali komwe kwenye harusi?
Kwani Mama aliwapa kama Rais ama Mwenyekiti wa CCM?!Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
mnatafuta justification "kuwa mlichofanya ni bora pia chakuigwa"Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
Huna akili. What a wasted sperm.Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali