Simba imeshinda mchezo lakini Yanga tulikuwa bora zaidi yao

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi

Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.

Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?

Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki

Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
 
IMG-20210725-WA0110.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Endeleeni kujipa matumaini fake na hayo magalasa. Huyo Makambo alìķuwa hapa eñzi źa Zahera alipokùwa kwenye peak.... kiwango kwa sasa sicho kile. Djumaa ni mwanarìadha tu kama allivyo TK. Yeye na Kalala walilishwa jumla ya magoli 5-1 msimu huu na Simba.
 
Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi

Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.

Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?

Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki

Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
Nanunua yanga mbovu na mzee mpili
IMG-20210726-WA0058.jpg
 
Simba wanaweza wakatamba kwa timu zote Ila si kwa Yanga, Yanga ndio timu pekee inayo waonyesha Simba timu yao ni yakawaida na hawana ukubwa wanao ufikiria.
Derby ndio zilivo Mzee, Simba kutoifunga Yanga haina maana kuwa sio kubwa, labda nikuulize unakumbuka mara ya mwisho Manchester city kuifunga Manchester United ni lini? Je unaweza linganisha Manchester United na city Kwa uwezo?

Mambo ya derby hayaamui Nani bora ata siku moja, ndomana wakati Yanga anachukua makombe 3 mfukulizo aliifunga Simba mara 2 tu kwenye michezo 6 kwahiyo Simba ilikuwa bora kuliko Yanga? Jengeni timu hamuwezi kujifariji kuwa mna timu nzuri kisa mnaifunga Simba, kumbuka ata prison waliifunga pia
 
Tatizo mashabiki wa yanga mnaongea kwa kujifariji na kusahau kabisa haya .

Mwaka 2017 Simba vs yanga dakika ya 28 mkude alikula umeme na game ikaisha 1-1 .

Huo huo mwaka 2017 kwenye mechi nyingine Simba akala umeme na akaibuka mshindi kwa kumchakaza yanga 2-1 .

Unapoongea Jambo uwe unarud nyuma kurejea matukio Kama haya .kucheza pungufu haimanishi ndio kufungwa ,ukifungwa jua tu ulizidiwa kimchezo uzur hata takwimu zinaongea kwa mpira wa Jana .

Note: Kuna mtu Jana alikuwa anakufa nyingi bahat nzur kwao uwanja haukuruhusu kucheza kwa kujiachia sana.
 
Mi nakumbuka simba tulivyokuwa tukichezaga pungufu na nyie mara zote tulikuwa tunawatoboa,sasa nyie mmetobolewa kimoko hiyo jana tena kwenye uwanja wa hovyo,huo ubora wenu unatokea wapi sasa?

Timu lenu lenyewe halina nidhamu,karate zinachezwa uwanjani ili kutaka kuwaumiza wachezaji wetu,sasa huo ubora wenu ni wa nini??

Nafikiri kwa aina ya uchezaji wa timu yenu,siioni ikifika popote kimataifa zaidi ya kutia aibu tu,niwaambie ukweli,Yanga mchezaji ni Tuisila tu wengine wote ni wacheza JUDO,sajiliniiiiiiii
 
Back
Top Bottom