Simba imeshamshinda kuanzia leo, asubiri kufurumushwa muda sio mrefu

Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Kocha hafai huyu
 
Kocha ndiye anakaa na wachezaji na kuwafundisha hivyo anajua hali halisi ya Phiri,hakuna kocha anayeweza kumuacha mchezaji mwenye uwezo wa kumpa matokeo mazuri uwanjani. Majeraha aliyopata Phiri hayakuwa ya kitoto bado hajapata match fitness. Kumlaumu Kocha ni upuuzi tu.
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Usichokijua nikwamba Moses Phiri aliwahi kula manzi ya Robatinyo,,, ndomana hata hayo yote yanamkuta . Nikama vile Morinyo alivyowahi kumkalisha benchi mchezaji flani huko ulaya kwasababu tu alikuwa akideti na mtoto wake
 
Unatumia hasira kuraise arguments zako, sidhani hata kama Simba wenzako watakubaliana na wewe.

Hii ilikuwa mechi ya majaribio, huwezi kumlaumu Kocha kuanzisha Ngoma nje, pengine ana vitu vyake alikuwa anaangalia. Hivi unadhani kwenye mechi ya ushindani Kocha anaweza kumuweka Kibu namba 9, alaf Baleke aanzie nje?

Kuna watu mnaendaga kuangalia for the sake ya kupoteza muda tu.
Kuna watu knowledge ya Mpira wanazidiwa na wacheza rede
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Na limfikie haswaaa...tumemchoka tena tumechoka haswaaa...sijui ana matatizo gani...
Acheni unazi, muacheni Kocha afanye kazi yake. Hapo ndiyo Simba huwa mnazingua sana, hamna uvumilivu kabisa nyie watu
 
Usichokijua nikwamba Moses Phiri aliwahi kula manzi ya Robatinyo,,, ndomana hata hayo yote yanamkuta . Nikama vile Morinyo alivyowahi kumkalisha benchi mchezaji flani huko ulaya kwasababu tu alikuwa akideti na mtoto wake
Duuh makubwaa tenaa,
 
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwann uendelee kubaki nae wakat msimu haujaanza bro? Hiv kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?

Hiv kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?

Robertinho usije ukasema mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza
Nina wasiwasi kama wewe ni mchezaji ambaye umewahi kucheza mechi za ushindani mtaan kwako wewe unaonekana ni shabiki tu wa mpira,,, Ngoma hawezi kutupa kombe wanasimba niamini mimi ila mzamiru anaweza kutupa kombe,,,,Ngoma yupo kama mkude ngoma yupo kama mgalu anahitaji msaada mkubwa kuliko yeye kutoa msaada ,wakimchezesha yeye timu itapata tabu sana kufunga kuliko mzamiru na timu itakuwa inachezea half ya simba kuliko ya wapinzani coz Ngoma hana speed anapenda slow gemu naandika leo yakumbuke haya maneno lig itaanza urud tena hapa

Kuhusu phiri kama yuko vizuri itakuwa kocha ana chuki naye maana huwez kwenda na Bokoboko akamuacha phiri
 
MTU MWENYE AKILI ANGEHOJI

UWEPO WA BANDA SIMBA UNAFAIDA GANI????..?...

1. KUkosa Golikipa wa maana.

2. Kukosa Beki wa kati 5 back up ya Inonga na Malone wakiwa na majanga.

3. Kiungo WA Asili mkabaji.

4. Kujaza mawinga wengi sana.
( 10 )

NB. HII NI MECHI YA BONANZA TU.
PUNGUZA PUPA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom