Ni ilishapangwa wkt wadau wanahoji hii kuna baadhi walikaa kimya au ku support na hii ni mara ya pili si ya kwanzaTimu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji muunganiko kwanza...haikuwa sahihi...
Madhara yake ni mashabiki wanaweza susa tena kwenda uwanjani iwapo team itafungwa nyingi....
Au kocha kupoteza Imani au baadhi ya wachezaji kuanzia hata kuzomewa na Mashabiki kisa mechi moja ambayo haikuwa na ulazima...kabisa....
TFF acheni hii ya kugeuza ngapi ya jamii kuwa mechi nyingi na kuingiza wasiosatahili.... Kuingia
Simba wanahitaji mda kurudi kwenye level yake ...mechi hizi zenye ushabiki kuliko uhalisia hazifai mapema hivi...
Man City bingwa EPL na Man United kabeba FAWewe kweli utopolo.Man u ambae atacheza na Man city ngao ya jamii kamaliza nafasi ya ngapi EPL?
Mmeanza visababuTimu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji muunganiko kwanza...haikuwa sahihi...
Madhara yake ni mashabiki wanaweza susa tena kwenda uwanjani iwapo team itafungwa nyingi....
Au kocha kupoteza Imani au baadhi ya wachezaji kuanzia hata kuzomewa na Mashabiki kisa mechi moja ambayo haikuwa na ulazima...kabisa....
TFF acheni hii ya kugeuza ngapi ya jamii kuwa mechi nyingi na kuingiza wasiosatahili.... Kuingia
Simba wanahitaji mda kurudi kwenye level yake ...mechi hizi zenye ushabiki kuliko uhalisia hazifai mapema hivi...
Hujielewi wewe kabisa...Siku hizi mpira umeingiliwa sanaTimu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji muunganiko kwanza...haikuwa sahihi...
Madhara yake ni mashabiki wanaweza susa tena kwenda uwanjani iwapo team itafungwa nyingi....
Au kocha kupoteza Imani au baadhi ya wachezaji kuanzia hata kuzomewa na Mashabiki kisa mechi moja ambayo haikuwa na ulazima...kabisa....
TFF acheni hii ya kugeuza ngapi ya jamii kuwa mechi nyingi na kuingiza wasiosatahili.... Kuingia
Simba wanahitaji mda kurudi kwenye level yake ...mechi hizi zenye ushabiki kuliko uhalisia hazifai mapema hivi...
Kwa hiyo ya TFF ni bora zaidi kuliko ya EPL maana bingwa wa FA anaweza kutokea hata daraja la Kwanza.
Haijaanza leo, ni kwa kuwa umechelewa kuanza kufuatilia soka. Ngao ya Jamii ilipoanza, washindani walikuwa niBingwa wa Ligi vs Bingwa wa FA (bila kujali amekuwa wa ngapi katika ligi). Msimu wa 2019/2020, Ngao ya Hisani ilikuwa kati ya Simba na Namungo, mchezo uliopigwa pale Sumbawanga. Lakini katika msimu huo, Simba ilikuwa ni Bingwa wa Ligi na Namungo ilikuwa katika nafasi ya Nne. Tiketi ya Namungo kucheza Ngao ya Hisani haikuwa nafasi yake katika ligi, bali ni nafasi yake katika kombe la FA. Tatizo la mashabiki wengi wa Yanga bado linadumu miaka kwa miaka, yaani kuilalamikia TFF hata kwa mambo ya kijingaTimu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Acha kufuatilia soka kama hata hili hujuiWewe kweli utopolo.Man u ambae atacheza na Man city ngao ya jamii kamaliza nafasi ya ngapi EPL?
Sasa pesa gani wamepata Mechi ya Zanzibar hata watu 10000 hawafiki?Hili tushaliongelea sana humu ndani, TFF na bodi ya ligi wanawaza pesa tu kwenye kila kitu. Uongozi mbovu kuwahi kutokea hapa Tanzania