Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

Huyo bwalya viongozi wake wanataka hela sawa na waliochangishana yanga kwenye kubwa kuliko.
yaani hyo hela yanga wameipata kwa tabu kweli kweli.
Leo waje kupewa kirahisi kisa bwalya.
Unadhani yanga watajisikiaje?
hahaha we jamaa wewe
umenifanya nicheke peke angu usiku huu
 
Mimi yangu macho, hizi timu za kariakoo dah ni pasua kichwa kwakweli, yaani ni tatizo kubwa, yaani kila mtu mpiga dili, janjajanja nyingi hadi kero!! Yaani basi tu !! Mimj naona hata siwaelewi.. Mara fraga sijui mara moon sijui khaa mwishowe tutasikia sun na nyota
 

Shabiki wa Yanga akiwa anaizungumzia Simba huwa hatumii akili. Huyo mtu aoiyepost hiyo picha kwenye page za Simba kawaweza kweli.
 
sio huyo bhana huyo iyetambulishwa simba anachezea ATM ya India anaitwa GERSON VIEIRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…