Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

Tuachie Simba yetu, tunasajiri Mzungu This time.
 
Yeah! Nikweli kaka,
Huyo jamaa anaitwa RYAN MOON ni mzawa wa hapo apo kwa MADIBA.
kiukweli huyu kinda hana records nzuri.
Amecheza mechi 25 na amepika goli tano.hapo ni ktk chub yake ya kaizer chief.
Katika timu yake ya taifa amewah kufunga goli moja tu. HAFAI HUYU.


TATIZO:simba wanapenda sana wachezaji wa bei rahisi . Hawataki mchezaji anaezidi MILION 350. Huwezi pata kitu kizuri kwa pesa ndogo.


Kwa RYAN MOON,bora wa mwache tu,hata asije
 
Best adolay njoo uone vituko huku. [emoji3][emoji3]
Mtakuja tu Mtani na huu ndio mwanzo. [emoji3][emoji3]
Na bado. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]. [emoji3][emoji3]
Hahahaaa. We ndio unaona tumeokota Swahiba ila si wenyewe walaaa.

Yajayo yatawafurahisha Swahiba.
Hakika Mkuu. Uko sahihi kabisa huo usemi.
Mtajiju [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hahahaha, nakusalimia Mtani
 
Hahahaaa. Mtani umefanya nicheke kwa jinsi ulivyoziorodhesha hizo Post.

Sijambo Mtani. Habari yako! Naona Mikua wanataka kuingizwa chaka. [emoji3][emoji3]
Hahahaha, naona unavyo tiririka
Ila kwa rekodi ya huyo mchezaji hapana bana , Mtani huyo hatishi Kabisa

MTC | 101| [emoji769]
 
Kama hamjui kitu acheni kupiga porojo humu. Anayekuja sio huyo. Anatoka ligi ya india ni mbrazil.
 
Mimi ni shabiki wa Simba lakini kwa huyu Msouth Afrika hapana kabisa. Hivi Simba imeshindwa nini kumtuma Chama hapo Zambia au Kotei pale Ghana atafute "kisu" cha maana? Tena ukiwatuma wachezaji waandamizi kama hawa unakwepa madalali na unalipa pesa ndogo sana. Kuliko huyo Ryan si bora wangemleta hata Jese Were tu?
 
Mkuu hata pale Mazembe kuna wachezaji mikataba imeisha wengine imebaki miezi michache, kuna Ben Malango ,kuna Jacques Muleka , km kweli wanataka kushinda na hao wavamie pale, wamtikise Moise Katumbi kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…