Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

Kuna dalili zinaonekana kwa mbali ....maendeleo ya usajili msimbazi yanatia shaka ! Kuna kitu hakipo sawa! Mimi sikubaliana na mbwembe kuwa ...tutakuwa kama Zamalek,TP,AU Vita overnight! Hakuana mafanikiao ya aina hiyo ...unaweza ukafanikiwa kwa msimu mmoja tu! Lakini kuwa mafanikio endelevu ni lazima kazi ifanyike...Simba haijafikia Level ya kusajili mchezaji kwa M800! Hiyo bajeti ukiwekeza kwa wachezaji vijana wa kawaida baada ya miaka 2 Timu inaenda mbali
Tusipende kuona mafanikio kuwa ni kitu za mchezomchezo!
 
Mkuu nakukumbusha tu ya kwamba ni wewe ndio wa kwanza kumsifia huyo mchezaji na nikakuuliza unamjua ukanitajia hadi timu anayochezea. Tujifunze kufuatilia jambo kwanza.
 
Hawa Simba ni wajanja sana! Wanaleta garasa makusudi ili sisi wazee wa bilioni tumkwapue uwanja wa ndege kama tulivyofanya kwa yule wa Uganda, halafu mwisho wa siku waje watucheke. Huyo wamsajili tu. Tumeshawashtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…