Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Nimefuatila huyu straiker was South Africa anaeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22
Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita ambapo Kaizer chips walikuwa na msimu mbaya zaidi kwenye historia ya Ligi ya South Africa alicheza mechi 13 hakufanikiwa kufunga Wala ku assist
Huyu kijana ana goli 5 tu timu zote alizipitia na tangu aanze soka la ushindani.
Ni free Agent na ametangaza kuondoka South Africa , huyu dogo hawezi kuisaidia Simba sio ndani Wala nje
64746454_2202915053353053_2080449288797683712_n.jpeg
Screenshot_20190619-144104~2.jpeg
Screenshot_20190619-143551~2.jpeg
 
Nimefuatila huyu straiker was South Africa anaeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22
Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita ambapo Kaizer chips walikuwa na msimu mbaya zaidi kwenye historia ya Ligi ya South Africa alicheza mechi 13 hakufanikiwa kufunga Wala ku assist
Huyu kijana ana goli 5 tu timu zote alizipitia na tangu aanze soka la ushindani.
Ni free Agent na ametangaza kuondoka South Africa , huyu dogo hawezi kuisaidia Simba sio ndani Wala nje
View attachment 1131608View attachment 1131609View attachment 1131610
Toeni Hati kwa Mo Dewj...vinginevyo rudisheni timu kwa mmiliki halali Ndg. Kilomoni

Yajayo yanavutia lkn yanahuzunisha pia...
 
Sasa simba wanako elekea nimajanga matupu
 
Bwalya milioni 800 mzee sio pesa ndogo hiyo
Kwa mafanikio aliyopata simba msimu ulioisha ingebidi tuanze kuchukua wa chezaji wa leval hizi ili kuanza Ku compete vizuri na timu kubwa.

Hofu yangu Hawa kina kagere, boko wanaweza waka flop msimu huu tukaanza angaika pata sttaikerz za maana

Alafu iyo pesa kwa sasa inaweza ikarudi pitia jezi na viingilio vya uwanjani vya mwezi mmoja. Sema ndo ivo naona watu wana mislead huyu minazi muhindi
 
Iyo pesa Ni ngumu kurudi kwa mataduni za watanzania hasa kwenye kuuza jezi hatuna utamaduni kununua jezi OG
 
Back
Top Bottom