Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,185
- 3,805
Mpira ni investment na Nidham.
Timu yangu ya Yanga inatakiwa kuliona hili at a distant. Only investment can make a difference.
Kwa investment ndogo tu waliyoifanya Simba SC, ninaitabiria simba kufika mbali, only the sky is a limit.
Ushauri wangu kwa Klabu ya Wekundu wa Msimbazi; nakubali kwamba mpira ni biashara, lakini kwa kiwango cha Simba , bado haijafikia hadhi ya kufanya biashara.
Kufikiria kumuuza mtu kama Jose Luis,au Bwalya au Chama , ni kuanza moja katika mpira.
Kampuni yoyote bora ni lazima iwe na sera ya maintainability kwa wafanyakazi wake . Vinginevyo utakuwa unakimbiza Skills zote kama ilivyotokea kwa As Vita. Imekuwa ni timu dhaifu na kwasasa kazi kubwa ni kuanza kuijenga timu upya.
Usishangae leo Simba inafanya vyema, the next season inatolewa kwenye preliminary stage; hii ni kwasababu bado timu haijawa na peak and sustainability.
Peak itapatikana kwa ku maintain wachezaji na kuongeza wengine wazuri.
Simba bado ni chipukizi, and for the first time ndio inaanza kuingia hamasa ya kutafuta nyota moja kwenye klabu bingwa Afrika ; ikikosa mwaka huu basi mwakani ipate, hapa hakuna uchawi wala blah blah ni Investment tu, maintainability ya wachezaji wazuri na nyongeza ya wachezaji bora zaidi.
hivyo Simba iache tamaa mapema sana ya kufikiria kuuza nyota wake eti mtu akifika dau.
Simba ijiwekee kwanza uhakika wa kuingia robo au nusu fainali miaka 2 au 3 mfululizo ndio tuseme Simba sasa ipo kwenye peak na inaweza fanya biashara.
Klabu za As Vita na TP Mazembe zinaonekana wanahela ni kwa sababu kila mwaka kucheza makundi au robo fainali ni kawaida kwao.
Kuhusu usajili, Simba ikamtoe yule Juma Shaban wa As Vita.
Mpira ni Money tuache blah blah kwenda kununua kina Chikwende ambao wanachukuwa muda mrefu kuonesha uwezo.
Hata Samatta, alitolewa haraka Aston Villa baada tu ya kugundua kuwa alikuwa overrated na anachukuwa muda sana kuonesha uwezo. Hakuna muda wa kusubiri kuonesha uwezo wakati watu wameweka fedha zao. Game 3 tu unatakiwa uwe tayari umeshaonesha uwezo wako and what you can offer to the club. Hii mambo ya mpeni muda jamani , ni akili za kimaskini. For that reason, wazungu wakamtimua sammata, Na nyie Simba toeni hiyo Chikwenda au uzia Azam akapate muda huko wa kujiweka sawa.
Simba now ni Klabu kubwa, Players lazima wawe na uwezo binafsi na wakipekee.
Luis alionesha uwezo ndani ya mwezi mmoja tu , akaonekana huyu Mtu ni hatari.
Also, Simba inatakiwa iwe na forward mwenye akili nyingi, sio kina mugalu, open chance nne, no goal , halafu utetezi oooh huyu ni mzuri , anajua kukaa na mpira. Useless, forward mzuri ni yule mwenye uwezo wa kuleta matokea katika angle yoyote ile ya pitch , muda wowote and unexpectedly.
Lengo kubwa la mpira ni magoli na sio kuhold mpira au vinginevyo, only the scores make a difference, hayo mengine ya kuhold mpira ni weak argument na akili za kimasikini.
Atafutwe Mshambuliaji wa kisasa mwenye kasi ya kisasa, na hapa tusiwe wabihili kwenda kuokota makapi Brazil, wapo forward za ukweli Africa, fedha yako kwako Mo.
Mchezaji mwingine Simba imfikirie anaitwa Kikasa kutoka As Vita, hawa ni wachezaji ghali but they can make a difference any time .
Mwisho, Simba iangalie uwezokano wa ku maintain wachezaji wake , Na kuongeza hizi mtu mbili kwenye kikosi ili next season icheze Final kabisa.