A Angelos Member Joined Dec 30, 2011 Posts 9 Reaction score 1 Dec 30, 2011 #1 kichaa flani alipita mbugani akiwa uchi. wanyama wote wakakimbia. fisi akamuuliza simba. fisi:simba hata wewe umekimbia? simba:dah yule mnyama wa ajabu sijapata kuona, mkia wake uko kwa mbele.
kichaa flani alipita mbugani akiwa uchi. wanyama wote wakakimbia. fisi akamuuliza simba. fisi:simba hata wewe umekimbia? simba:dah yule mnyama wa ajabu sijapata kuona, mkia wake uko kwa mbele.