simba hata wewe?

simba hata wewe?

Angelos

Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
9
Reaction score
1
kichaa flani alipita mbugani akiwa uchi. wanyama wote wakakimbia. fisi akamuuliza simba. fisi:simba hata wewe umekimbia? simba:dah yule mnyama wa ajabu sijapata kuona, mkia wake uko kwa mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom