SIMBA!HAPO SAWA,KAZA BUTI KAMWAGA (Who is Twite?)

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Jioni hii kwenye Michezo na Times Fm nimejulishwa kauli ya Wekundu wa msmbz juu ya pesa za M. Twite, kwaujumla zimethibitisha nilichokuwa nakifikiria juu ya Watani wa jadi, Yng SC. Hapa nawapongeza Simba kukataa kuzipokea pesa zilizorudishwa na Viongozi wa APR & Lupopo FC ambao wamekubali kutumiwa kijinga na watu wasiopenda maendeleo ya soka la bongo kwani:
  • Viongozi hawa Wamethibitisha kuwa Twite alipokea pesa halali ya usajili toka msimbazi
  • Wakati anapokea akiwa na akili timamu hakuwepo TFF wala CECAFA
  • Sehemu pekee ya kuirudisha pesa ni msimbazi tena si kupitia watu bali ni yeye Twite akijenga hoja kwa wanasimba kwanini sasa anarudisha pesa.
  • Yanga hawana mamlaka ya kusema kuwa walikuwa na mchakato tangu mapema wa Twite kwani yeye mwenyewe alipokea na kukubali kuichezea simba. Nawauliza yanga hivi wachezaji wazuri kwenu wapo simba tuu, ama nyie ni vip*fu kmkitegemea kuongozwa na Mnyama?

Mwaka huu mta weweseka sana, yaani na wewe umeingia mkenge? Hivi walitakiwa waongee na MBUYI au Club yake?
 
kumbe hujui soka!, Twite hakuwa na mkataba na timu yeyote? hao unaowataja wa nini? acha kuleta mambo yko ya ndala hapa. Toooooooooooooooka
 
Nimesikia RFA usiku huu kuwa Simba wanampeleka mahakamani Twite, hakuna mahakama ya Tanzania itakayosikiliza kesi hiyo kwa vile kosa lilifanyikia Kigali Rwanda, Rage ajipange kwenda huko siyo Kisutu, ni ushauri tu.
 
Big up sir, Tunahitaji mabadiliko pande zote si habari za kuwafuata wachezaji waliotambuliwa na simba. Hawa Y*nga vipi?
 
Twite ninani hasa ? anahisa na simba au ameshikiria uwezo wa wachezaji wa simba kiasi asipokuwepo timu haifanyi vizuri ? aaaah acheni kumkweza kiasi hiko. itakuwaje basi siku atakapokuwa garasa kama Mwape na Asamoah? c mtakuwa wa kwanza kusema '' Afadhali yanga wangemwacha aende simba tu kuliko kutuletea mtu kama huyu,,,,Hii ni bongo jamani wenzetu hamna uwezo wa kuwatengeneza wachezaji wa nje wakawa wazuri kama simba. mwenye masikio na asikie.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini nashauri wazee wa simba wafikirie adhabu ndogo tu ya kumpa huyu mbuyu twite kwa kitendo chake cha kitapeli. Napendekeza wazee wamshushe ki-tenesi.
Jioni hii kwenye Michezo na Times Fm nimejulishwa kauli ya Wekundu wa msmbz juu ya pesa za M. Twite, kwaujumla zimethibitisha nilichokuwa nakifikiria juu ya Watani wa jadi, Yng SC. Hapa nawapongeza Simba kukataa kuzipokea pesa zilizorudishwa na Viongozi wa APR & Lupopo FC ambao wamekubali kutumiwa kijinga na watu wasiopenda maendeleo ya soka la bongo kwani:
  • Viongozi hawa Wamethibitisha kuwa Twite alipokea pesa halali ya usajili toka msimbazi
  • Wakati anapokea akiwa na akili timamu hakuwepo TFF wala CECAFA
  • Sehemu pekee ya kuirudisha pesa ni msimbazi tena si kupitia watu bali ni yeye Twite akijenga hoja kwa wanasimba kwanini sasa anarudisha pesa.
  • Yanga hawana mamlaka ya kusema kuwa walikuwa na mchakato tangu mapema wa Twite kwani yeye mwenyewe alipokea na kukubali kuichezea simba. Nawauliza yanga hivi wachezaji wazuri kwenu wapo simba tuu, ama nyie ni vip*fu kmkitegemea kuongozwa na Mnyama?

Hasira blaza kabla hujalipa deni la urithi (6).....unakutana na deni jipya (5-0) we unadhani watoto wao wakirithi haibu hizi watakuwa na lipi la kusimulia....wanawafata simba sababu wanajua inajua ku point.!umebaki USHINDANI WA HELA....NENDENI MKASHINDANE NA B.O.T...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom