S Smart codetz JF-Expert Member Joined Jan 25, 2023 Posts 228 Reaction score 933 Apr 8, 2023 #1 Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad! Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu wanakusubil! Twende mbele wana Lunyasi😀😀
Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad! Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu wanakusubil! Twende mbele wana Lunyasi😀😀
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,458 Reaction score 38,962 Apr 8, 2023 #2 Makolo yanaruka na kukanyagana
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,466 Reaction score 130,738 Apr 8, 2023 #3 Tarehe ya mechi iko pale pale. Hatutaki visingizio vya aina yoyote ile.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,767 Reaction score 22,042 Apr 8, 2023 #4 Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu. Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi. Leta uchambuzi unaoeleweka.
Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu. Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi. Leta uchambuzi unaoeleweka.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,077 Reaction score 75,429 Apr 8, 2023 #5 Tate Mkuu said: Tarehe ya mechi iko pale pale. Hatutaki visingizio vya aina yoyote ile. Click to expand... Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe aliyewaambia habari ya kusogeza mechi nani? Mkikaa kukuna nazi ndiyo stori zenu hizi. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu said: Tarehe ya mechi iko pale pale. Hatutaki visingizio vya aina yoyote ile. Click to expand... Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe aliyewaambia habari ya kusogeza mechi nani? Mkikaa kukuna nazi ndiyo stori zenu hizi. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
chichiboy1 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 1,909 Apr 8, 2023 #6 Saguda47 said: Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu. Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi. Leta uchambuzi unaoeleweka. Click to expand... Vyura hao na ulimbukeni wao.
Saguda47 said: Hivi hizi ni habari za michezo au ushabiki wa kijinga tu. Mbona kuna ulimbukeni wa hovyo sana siku hizi. Leta uchambuzi unaoeleweka. Click to expand... Vyura hao na ulimbukeni wao.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,185 Reaction score 5,431 Apr 8, 2023 #7 Ujinga ujinga mwingiiii
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,397 Reaction score 41,514 Apr 8, 2023 #8 Nasikia Ingonga kaumia mechi ya jana na mnaenda Mbarali huko kwenye mashamba ya mpungu na sasa hivi mvua zinapiga, naona visingizio vitakuwa vingi kama ndio hivyo
Nasikia Ingonga kaumia mechi ya jana na mnaenda Mbarali huko kwenye mashamba ya mpungu na sasa hivi mvua zinapiga, naona visingizio vitakuwa vingi kama ndio hivyo