Simba gomeni kuvaa nembo yenye chapa ya GSM

CEO wetu anasema wamegundua mabasi yetu yana plate number zenye rangi za njano, wanafanya mchakato wa kuzibadilisha rangi ziwe nyekundu na nyeupe!
Gsm amesema pia atabadilisha damu ya wanayanga iwe ya njano eti
 
Nembo ndo inacheza mpira?
Hoja yako haina mashiko coz hakuna ushahidi kwamba uchezaji mpira unaeza athiriwa na kuwapo kwa nembo eneo lolote lile la jezi!!
Akili yako haina maarifa
Nimekudharau sana
 
Simba sio washamba kwenye rangi,Simba inavaa logo ya caf kijani na njano,Shida ya Simba ni unavaa nembo ya kampuni kuitangaza club inanufaikaje?
Mueleweshe huyo utopolo, Gsm wana logo nyekundu pia, hivyo hoja sio logo, hoja ni fair competition na kunufaika kwa club.
 
Kila mara kuna vitu ukifanya kwa hila ama kudhulumu utakuja kulipa kwa aina moja ama nyingine. Watanzania hasa wapenzi wa soka hawana imani na uendeshaji wa chombo chetu kinachosimamia mpira wa miguu TFF chini ya Karia. Kitendo cha kuingia udhamini na GSM ni kosa na hakikubaliki.

Kama wanataka kweli maemdeleo ya soka GSM angepewa ligi daraja la kwanza na sio PL. Simba gomeeni kabisa kuweka nembo ya chapa GSM kwenye jezi zenu. Halafu tuone wawashushe daraja. Karia na udhalimu wake naona anafika mwisho.
Huyu bi cha ubaya na bwana ake kabacholi watuachie simba yetu , wasituchonganishe na TFF kwa maslahi binafs ya kibiashara..
#MOANDBABRAOUT
 
Nembo ndo inacheza mpira?
Hoja yako haina mashiko coz hakuna ushahidi kwamba uchezaji mpira unaeza athiriwa na kuwapo kwa nembo eneo lolote lile la jezi!!
Nilitegemea hii comment ungecomment kipind yanga wanagomea kuvaa logo yenye rangi nyekundu ,unaweza kuniambia rangi ndio inacheza mpira Hadi wakagomea Hilo?
 
Vip kuhusu AZAM FC na kampuni ya azam?
We kijamaa kumbe Ni cheupe hivo kichwani ,nakuonaga hapa jf kila Mara nilijua una akili kumbe zero brain .
Au unahara tu ,je unaijua hoja ya Simba?
Je Simba na yanga wanavaa logo ya Azam kwenye jersey zao?
Kuna muda ushabik ukizid unageuka Malaya aka choko

Hujui hata content ya Simba wewe unaharisha tu.
 
Yanga wanahangaika sana wao walikataa rangi nyekundu halafu wanataka kirahisi tu watu wavae GSM.
 
Caf kuna hela kule lazima tuvae, ndo maana sasa ni zaidi ya misimu minne Simba akosekani kule,bado tena tunakokota na wengine viti maalum ili wapate nafasi kule,lakini wanatuabisha.
Kolo mwenye hapo alipo kule caf ni viti maalum,na mpambane kweli huko caf ili mpate nafasi ya kwenda caf next season maana msimu huu amuambuli kitu ligi kuu TZ
 
Yanga wanahangaika sana wao walikataa rangi nyekundu halafu wanataka kirahisi tu watu wavae GSM.
Bro Simba Hana ushamba huo wa kugomea rangi ,hata iwe njano au kijan Simba watavaa tu kikubwa wajue wananufaika na Nini kwenye hiyo logo , yaan utoe million 3 kwa mwez mshahara wa mwinuke ambae Hana no pale Simba alafu et uchafu wako ukae kwa jersey ya Simba , yaan Simba akutangazie bishara yako bila return ya maana ,huu Ni undez kabisa ,safar hii wataelewa vzr Simba Ni club ya level zipi ,.
Wakawavarishe coastal ,geita ,namungo na vitimu vyenye njaa njaa Ila sio Simba.

Toa pesa ya maana then tutavaa logo yako ,no matter utatuletea Ina rangi ipi sisi pesa Kwanza ,win win situation ,Simba Hana shida na rangi za kijan Wala njano maana ashavaa Sana hizo rangi lakin kwa return yenye faida.
 
Nembo ndo inacheza mpira?
Hoja yako haina mashiko coz hakuna ushahidi kwamba uchezaji mpira unaeza athiriwa na kuwapo kwa nembo eneo lolote lile la jezi!!
Hivi na wale wasiotaka kuvaa logo halisi ya mdhamini,wakaweka rangi wanayotaka wao,je wanauweza kuathirika na kushindwa kucheza gozi la ng'ombe,sababu tu wamevaa nembo na rangi halisi ya mdhamini?
 
Kiukweli Simba wana hoja yenye mashiko

Ilikuleta fair ground ni vyema TFF wange mwambia Gsm iyo chapa yake iwepo ktk mabango uwanjan na sio ktk jezi.

G*m ndio waratibu was mabadiliko ktk klabu ya Yanga, wamewalipa wale wa Spain ili kuandaa draft ya mabadiliko

G*m ndio waliosimamia usajili wa wachezaj ktk clabu ya Yanga kwa misimu 2 na ushehe pamoja na usajili wa benchi la ufundi

G*m ndio wamesimamia usajili wa yule m South Africa kuja Yanga as new CEO

Leo hi G*m anasimama Kama mdhamin mwenza wa ligi lkn pia ndio wanao ratibu uendeshaji wa clabu ya utopolo ....hapa hatukuwa na usawa wa kiushiundani ...in one way or another mdhamin huyu mwenza anaweza aka alter matokeo ya mchezo.

Note pia huyuhuyu ana dhamini baadhi ya vilabu vyingine Kama 3 ivi.

Wapo wanao linganosha udhamin wa vodacom as main league spansor lkn pia aka dhamin namungo + biashara fc, hapa NI tofauti kabisa huyu G*m yy anadhamini Yanga lkn pia ana ratibu na kusimamia uendeshaji wa hi club ...kwa ajili ya kuondoa sintofahamu hapa tifutifu wajitafakari
GSM is a group of companies.

Kampuni ambayo wanaoidhamini Yanga na kutengeneza jezi na kampuni ambayo itadhamini leagueya NBC ni kampuni mbili tofauti.
 
GSM is a group of companies.

Kampuni ambayo wanaoidhamini Yanga na kutengeneza jezi na kampuni ambayo itadhamini leagueya NBC ni kampuni mbili tofauti.
Kuwa group of companies sio issue,issue NI kampuni iyo kuidhamini klabu Y na kuiongoza vile vile, kumbuka tofauti ya uwepo wa kampuni ktk vilabu Kama coastal na namungo ..pale wamesimamia kama wadhamini tu
Lkn ktk klabu ya Yang, kampuni iyo imadhamini na kuendesha timu iyo ... Ikiwemo mmoja wa mfa yakazi wa juu wa kampuni iyo kuwa pia ni kiongoz ktk.klabu ya Y
 
Mkataba ni kati ya GSM na TFF.
Simba inaingiaje hapo.
Screenshot_20211209-053742_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom