Simba day

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,765
Niko taifa kushuhudia kikosi cha watani Simba koko. Kuna vijembe vinaendelea kati ya mashabiki wa Yanga na Simba. Mdau mmoja wa Yanga kawaambia Simba kuwa mwanaume kabaki mmoja tu hapo Msimbazi. Mwanaume pekee ni bi Hindu kufuatia mkutano maarufu ulioanzia ajenda ya saba. Wadau mnalionaje hilo?
 
Mpaka salsa Watoto wa jeshini 4 Simba B 2. Magoli ya Simba B ya penati za kutunukiwa. Mpira unaendelea.
 
hao simba b wote ni wapya maana wa msimu uliopita wote wamepandishwa..
 
Mlioko uwanjani tupieni kikosi cha Simba hapa tutoe tathmini.
 
Mkuu Nyenyere, umetulia mno tupatie update.

Hao Azam TV si wangeanza na hii Simba Day, sasa wako wapi?
 
Timu haina Afisa Habari!!!!! Na kama yupo atakuwa anaandika taarifa za timu kwenye karatasi nyeupe kwa kutumia kalamu nyeupe!!!!!!
 
kikosi
1 dhaira
2 chollo
3 baba ubaya
4 owino
5 miraji
6 mkude
7 redondo
8 humud
9 mombeki
10 kiemba
11 chanongo
 
villa wametulia wanacheza kwa mipango uyu humud, chanongo na mkude wanacheza na majukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…