Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Hatari sana.
Simba ni simba Tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaaa. Wataka nikapigwe mdogo wangu mana ikitokea wamefungwa nadhani Uwanja mzima mi ndio ntasimama kushangilia goli la wapinzani. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Una roho mbaya ujue mim ni simba sijag kuzoza kitaa hiki naogopa tutakorofishana ndo maan mekuacha pekee
 
Hawa binadamu leo wamechukua likizo katika shughuli zao za kila siku ? Au hawana shughuli za kila siku ?, Sababu hii mida nilitegemea wenzetu tunaosukuma gurudumu la maisha tuwe bado tunafanya hivyo... kwahio huenda kwa Yanga kutokujaza uwanja sababu ni wachapakazi walikuwa kazini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…