AminaMungu mlinde kapombe
Yuko poa wamemtoa asije akaumia tenaNimesikia ameumia tena. Ni kweli?
Sajili iko vizuri hata wazawa wamepiga soka hatariWakuu mnasemaje tathmini ya jumla kuhusu sajili mpya? Au hatuwezi kuwahukumu kwa game hii?
Mimi naona ziko vizur kwa ujumla, yapo makosa madogo madogo wanavyoendlea kuzoeana watakua na chemistry nzuriWakuu mnasemaje tathmini ya jumla kuhusu sajili mpya? Au hatuwezi kuwahukumu kwa game hii?
Nilikuwa nampuuza Miraji,yupo vizuriSajili iko vizuri hata wazawa wamepiga soka hatari
Ndio zakeUmemsoma ratiba zake ee
Tena iwe kagera sugarKwa hili soka la leo, kuna mtu atakufa hata 15 bila
Huyu dogo ni konyo/konkiNilikuwa nampuuza Miraji,yupo vizuri
nmewambia hivyo Madrid wamesema watatupa Asensio. Na benzema in exchangeHawana dau la kumnunua mk14
Huyu kanda , mazembe watakuja jutaNimeshangaa pia,Kanda anapiga vitu
Wakuu vipi Ajibu hajacheza leo? Mimi nipo safarini siangalii mpira
Yanga muwe wapole Simba hii itatia watu vidonda vya tumbo..SimbaNguvuMoja
Yaani vitambi fc waifunge simbaHongereni watani lakini mkikutana na YANGA mjue mtashangazwa Mpaka mshangae