OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,246
- 103,952
j Ni wivu tuAcha kuandika utumbo, you have a long way to go, sio unajiita bingwa wa caf huku ukienda kwa wababe unapigwa kama jibwa koko.
Photoshop adobe hahahaha, yanga ndiyo mpango mzima, utashabikiaje kitu rangi nyekundu?View attachment 1173544
View attachment 1173553
View attachment 1173554
View attachment 1173557
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level.
Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi.
Jiunge nasi hapa JF kupata updates za mchakato mzima wa Simba Day,This is Next Level
HatersPhotoshop adobe hahahaha, yanga ndiyo mpango mzima, utashabikiaje kitu rangi nyekundu?
Tulizana Mama usiwe Na Haraka Mambo Mazuri YanakujaMbona umetuwekea picha zilipendwa. Hebu tuwekee za leo leo bana. Lol
Mwana yangu unaitwa mahaliMbona umetuwekea picha zilipendwa. Hebu tuwekee za leo leo bana. Lol
Yanakuja saa ngapi. Nyie ndio mlikuwa mnawaka oooh. eti uwanja tuliujaza jioni.Tulizana Mama usiwe Na Haraka Mambo Mazuri Yanakuja
Kiko wapi!!!. πππ
Naona wananichosha tu wale. πππMwana yangu unaitwa mahali
Leo siku ya kazi wajua lakiniKiko wapi!!!.
Ndio sababu Mikia wamekuwa wagumu kutuma picha za leo leo kumbe uwanja mweupeeee. lol.
Nalijua hilo Mkuu. Ila wenzetu mlisema leo ni kama holiday hivyo hamwendi kazini nyie mkiamka tu uelekeo kwa Mkapa.Leo siku ya kazi wajua lakini