ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,097
- 1,432
Wadau napenda kuwapeni mchongo huu kuhusu kampuni ya Simba Cargo ,kampuni yetu inasafirisha mizigo midogo na mikubwa na Full contena kutoka China na Dubai kwa garama sawa na bure. Pia kampuni ya Simba Cargo inawasaidia wateja wake kuweza kutuma pesa kwa urahisi China na Dubai kwa rate ndogo na pesa hutumwa kwa usalama mkubwa sana.Endapo mzigo wa mteja utapotea kabla haujamfikia basi atalipwa garama zake zote.Karibu Simba Cargo wataalamu wa usafirishaji. Tunapatikana Swahili na Narungombe ,Kariakoo.