Simba bingwa Tanzania 2011-2012

hahha na yanga mapingwa wa nini vile??? ...carrier ya mike tyson
 
Mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanashindwa kuelewa waishangilie Mtibwa au Azam !!
 
Hivi Simba si ndio ilikuwa inaitwa Sunderland mwaka 1973, Si maizungumzia BIG NATION? sasa kwanini isiwe bingwa?

Vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Full Time Uwanja wa Taifa

Azam 1 - Mtibwa 2

Points Simba 59,Azam 53 na Tunawasubiri Yebo Yebo Keshokutwa ili furaha ya ubingwa iwe nzuri na nextweek tuendelee kutesa kwenye mechi ya Kimataifa.Mungu ibariki timu ya Simba ifike mbali kwenye michuano ya kimataifa
 

Amina.
 
Hongera sana mnyama pamoja na washabiki wote wa simba popote mlipo.
 
Safi sana mwekundu wa msimbazi
OTIS
 
mnyama mnyama mnyama mnyama,ngriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hongereni but Tutaonana msimu ujao
 
Simbaaaaaa Ngrrrrr ngrrrrr ngrrrrr ngrrr kula huyo nyama nono!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…