Simba 3 yanga 0 Insha'allah kwa chama langu

Kabla ya kupost jitafakari kama akili zimekaa sawa.... kitimu yanga wako vizuri mno.. wana wachezaji wa level za juu... Tukiweka ushabiki pembeni hii game ni ngumu kwetu sema tunajipa moyo tu.. Tuombe tena game hii NGOMA asicheze maana yule ni mchezaji na ni ukweli hatuwezi kumfananisha na LAUDIT MAVUGO...
Subiri dakika tisini ndizo zenye maelezo kamili mkuu, lazima mkae
 
cb550a8ad13a8bd96d80d7013a96070c.jpg
simba 3 - 0 Ngaya
 
Tatizo lenu mikia uwa mnakuja na matokeo uwanjani,mwishoe mnaishia kufanya vitu vya ajabu ajabu
 
Kabla ya kupost jitafakari kama akili zimekaa sawa.... kitimu yanga wako vizuri mno.. wana wachezaji wa level za juu... Tukiweka ushabiki pembeni hii game ni ngumu kwetu sema tunajipa moyo tu.. Tuombe tena game hii NGOMA asicheze maana yule ni mchezaji na ni ukweli hatuwezi kumfananisha na LAUDIT MAVUGO...
Wamefunga ngapi rafiki
 
Nasikia sio Simba tu bali hata Azam nao wanaunga mkono vita dhidi ya mihadarati
 
Back
Top Bottom