Simaro massiya lutumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simaro massiya lutumba

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Bakulutu, Oct 4, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Mtunzi, mpiga gita na kiongozi wa bendi.

  Kwa nini namzungumzia huyu mzee.?
  Alizawa ktk ya mji wa Kinshasa miaka 73 iliopita, alikuwa hapend sana kuongea na watu.Alionekana mtulivu na muelewa saaana, hana sauti ya kuimba sana, ila
  1. NI MTUNZI NO 2 KTK BENDI YA TP OK WAKAT HUO.
  2.NI MPIGA GITA KWA NAMNA YA KIPEE HASA KWENYE MIZIK YA JAZZ.
  Aliweza kuongoza bendi kipndi ikiw inafanya ziara kwny mataifa ya ulaya, america na Africa kama Franco hakuwepo au kwnye matamasha ndan ya congo.

  Ameweza kutunga nyimbo nyingi sana, bahadhi ni .
  1.Maya iliombwa na Carlyto Lassa
  2.Testamente ya Bowule ilioimbwa na Malege de Lugendo
  Vaccination, Ebale ya zaire,Faute ya commentant,mabele n.k ambazo nyingi aliimba Sam Mangwana(Le grand devoiyega).

  We unamuelewa vp Simaro na unavutiwa na wimbo upi hasa...
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Eau Benite iliyoimbwa na Madilu System, nimeona yenye translation ya Kiingereza, I can only say huyu jamaa alikuwa anajua kuandika kweli kweli.
   
 3. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Niliangalia video yake, kuna mahal anakuwa naomba yy japo inakuw ni saut ya Madilu..na mpenda saana kw wale wapenz wa kununi cd kuna show za PRIMUS iliondaliwa kw ajil yake ya kutimiza miaka 70,alikuw anapiga gitaa kama kawa..
   
Loading...